Raia wa Ghana, leo wanasherehekea miaka 63 ya uhuru wa Taifa hilo.
Ghana itawaliwa na Uingereza na kupata uhuru wake Machi Sita mwaka 1957, chini ya Mwanasiasa mashuhuri na mwanamapinduzi wa Taifa hilo Kwame Nkurumah.
Nkurumah ndiye alikua Waziri Mkuu wa kwanza wa Ghana baada ya uhuru na...