uhuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamano endelevu mpaka uhuru

    Kuanzia sasa Gen-Z/Watanzania kwenye kila maandamano au tukio ambalo litawafanya washike Silaha hawatairudisha kwa mamlaka, Silaha zitatumika dhidi ya WanaCCM na wafuasi wao, polisi au mtu yoyote wa Serikali dhalimu atakayekuja kupeleleza hatopewa tena tena ushirikiano, effectively tunaondoa...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tujipongeze sana Vijana tulioandamana , Wakati alipouliwa Mmoja wetu, tulisonga mbele, Hii Spirit ni zaidi ya Enzi za Uhuru, Mapambano yanaendelea

    Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa. Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media za Tanzania zilivyoripoti matukio ya Uchaguzi Mkuu 2025; Je, tatizo ni uwezo wa Wanahabari au uhuru umesiginwa?

    Wakati Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulipofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, huku Huduma za Mtandao wa Intaneti zikiwa zimezimwa, Vyombo vya Habari vikuu (Mainstream Media) kama televisheni na redio, pamoja na Vyombo vya Habari vya Mtandaoni, vilitarajiwa kutoa taarifa sahihi na zenye uwiano kuhusu yale...
  4. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kidonda kitapona maisha yataendelee, Uhuru una gharama zake

    Watanzania bado tunaendelea kubeba maumivu ya yaliyotokea. Lakini kushindana na mwenye silaha hakutaleta suluhisho, bali Maumivu zaidi. Waliotenda mauaji walifanya hivyo si kwa uungwana wala kuzingatia utu na utanzania wetu, Hata hivyo kila jambo lina mwisho. Maisha lazima yaendelee. Heshima na...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kikwete akutana na Uhuru Kenyatta, amuomba ushauri

    Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta. Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania. Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha. Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo...
  7. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru, ila ni kama hatuna uhuru

    Miaka 60 baada ya uhuru Tanzania hatuna wasomi wakuendesha bandari zetu mpaka tusaidiwe na waarabu? Miaka 60 baada ya uhuru bado kumiliki gari Tanzania ni anasa! Miaka 60 baada ya uhuru kuikosoa serikali ni makosa! Miaka 60 baada ya uhuru bado watanzania vilio vyao ni maji na umeme? Miaka 60...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nilimwambia Maxence kuhusiana na ubunifu wa JamiiSpace akaniambia ni vizuri tukawa wengi kwenye kupigania uhuru wa kujielezea kidigitali

    Habari wakuu, Najua fika kuwa ni watu wachache sana wenye uwezo wa kiufundi kama huu wangu wa kuunda na kuikamilisha mifumo inayoweza kuhudumia mamilioni ya jamii, ninacho jivunia siyo utajiri wala umaarufu, bali ni ule uwezo wa kuingia kwenye mradi na kutengeneza na kukamilisha kitu chenye...
  9. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuru wa Habari upo shakani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Malalamiko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania yameongezeka tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Vyombo vya habari vimekuwa vikikabiliwa na vikwazo vingi, ikiwamo kupewa maonyo, kuamriwa kushusha maudhui yasiyoifurahisha Serikali, na hata kufungiwa. Mfano...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

    Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi. Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA Nitaendelea
  12. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Nampenda Haki, Uhuru, Usawa na Uzalendo kusema ukweli ni mabinti wazuri. Nimewaza nimchague nani kati yao, Wazazi wanasema ninaweza kuoa wote

    Nimekuwa namuvitiwa na hawa mabinti wanne huku ughaibuni na nina mpango wa kurudi nyumbani na kuoa. Hao mabinti ni Haki, USawa, Uzalendo na Uhuru, nyie mnaita sijui pisi kali ni kweli ni mabinti wazuri na naamini watazalisha kizazi bora. Ila imekuwa ngumu sana kwangu nikiwaza inabidi nichague...
  13. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Wife kaniomba anataka naye ashiriki kupania UHURU wa nchi, nimetoka kumwambia hiyo ni haki yake

    Nimefurahi mke wangu kachoma vitenge anaunga juhudi jambo la kiungwana na utu.
  14. Noel france

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  15. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Wanawake hii kutaka Uhuru au ni Uchoyo tu ?

    Habari zenu wadau.! Niende kwenye maada moja kwa Moja. Kuna simulizi kaza wa kaza zimekua zikiletwa hapa Jamvini wanaume wakilalamikia wake zao kutokufurahishwa na uwepo wa Ndugu wa Mwanaume pale nyumbani. Mwanzo atakua kama amefurahi baadae visa na mikasa inaanzishwa na Visirani visivyokuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Umma, Polisi na watumishi wa Umma mmefanya kosa gani hadi mfunge sehemu ya comments?

    Wakuu, Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa sana ikiwemo kwenye mawasiliano ikiwemo Web 2 ambayo inarahisisha watu kuchangamana na kutoa maoni yao katika mambo kadha wa kadha. Kupitia maendeleo haya tunategemea kuona wananchi wakitoa maoni yao kwa uhuru na kushiriki katika mijadala mbalimbali...
  17. La Roche

    JamiiForums Tanzania Mamlaka acheni kufungia uhuru wa habari

    Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)... Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake. Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
  18. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Pesa, Uhuru, Muda, Furaha, na Maana ya Maisha Ndio Utajiri wa Kweli.

    Je, unakubaliana naye?
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania CCM Msitufanye Shamba la Bibi: JamiiForums Sio Mali Yenu, Ni Uhuru Wetu wa Kikatiba

    Hivi jamani, kila siku CCM mnadhani hii nchi ni mali yenu? Kila mtu akisema kitu against serikali, mara ohh kufungia, mara ohh kuzima.! Hivi mnaona Watanzania wote ni ma-idiot wa kufuata tu mnavyoamuru? Jamii Forums siyo mali ya mtu binafsi, ni jukwaa la wananchi. Ni platform ya maoni, freedom...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa JF ila utashangaa wale chawa nao wakaja wanatumia VPN kueleza mama kaachia uhuru

    Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm. Kama mnabisha subiri mjionee na wao wanatumia VPN
Back
Top Bottom