uhuru wa habari

Uhuru Stadium (formerly known as the Tanzania National Stadium) is adjacent to the National Stadium in Dar es Salaam, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sheriff

    Serikali na Matumizi ya Programu za Udukuzi na Upelelezi: Ongezeko la Tishio kwa Ulinzi wa Faragha na Haki za Binadamu

    Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
  2. OLS

    SoC03 Maamuzi ya Mahakama ya Afrika Mashariki yaheshimiwe kurejesha uhuru wa habari ili kukuza utawala bora

    Changamoto za Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari Tanzania imejitolea kuheshimu viwango vya kimataifa, kikanda, na kikatiba vya uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza. Lakini, vipengele vya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (MSA) havikidhi viwango vinavyokubalika katika kukuza...
  3. Samahani

    SoC03 Turuhusu uhuru wa habari utuwajibishe

    Utangulizi Binadamu tumeumbwa na tabia ya “kushangaa”. Tunayoyaona au kuyasikia kwa mara ya kwanza yanatushangaza. Tunaposikia au kuona jambo ambalo hatuna taarifa zinazolihusu, ni kawaida “kushangaa”. Baada ya kuwa na ujuzi juu ya jambo hilo, halitushangazi tena. “Tutakushangaa”...
  4. BARD AI

    Bunge latunga kanuni ngumu kwa wanahabari, wadau wasema zinarudisha nyuma uhuru wa habari

    Bunge la Tanzania limetunga Kanuni mpya za mwaka 2023, ambazo zimeweka adhabu kwa waandishi wa habari na masharti ya namna ya kupiga picha ndani ya ukumbi wa Bunge. Kanuni hizo ambazo zimechapishwa katika Gazeti la Serikali (GN) ya Machi 21, 2023 zimeeleza maeneo yanayoruhusiwa kupiga picha na...
  5. OLS

    Nape, Marekebisho ya herufi yanaongezaje uhuru wa habari nchini?

    Nimemsikia Waziri Nape akisema serikali italinda uhuru wa kujieleza (Serikali italinda uhuru wa kujieleza). Maneno haya yametokana na serikali kuwasilisha Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari tarehe 10 Februari 2023 bungeni Je, ni kweli yanalenga kuimarisha uhuru wa kujieleza nchini...
  6. G-Mdadisi

    Upatikanaji Uhuru wa Habari hainufaishi vyombo vya Habari tu, ni kwa manufaa ya Taifa

    ZANZIBAR WADAU wa habari Zanzibar wamesema ipo haja ya kufanyia marekebisho sheria ambazo zinakinzana na upatikanaji wa habari na uhuru wa vyombo vya habari ili kuchochea uwajibikaji na upatikanaji wa taarifa kwa lengo la kuleta maendeleo katika jamii. Wameeleza kwamba suala la upatikanaji wa...
  7. G-Mdadisi

    TAMWA-Zanzibar yataka mabadiliko ya haraka sheria za habari Zanzibar

    ZANZIBAR CHAMA cha waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kimesema kuna haja ya taasisi husika za mabadiliko ya sheria kuweka kipaumbele kufanyiwa marekebisho yanayoendana na matakwa ya wadau katika sheria za habari Zanzibar ili zitoe mazingira ya uwepo wa uhuru wa vyombo...
  8. beth

    Septemba 15: Siku ya Demokrasia Duniani

    Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni Uhuru wa Kujieleza, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kuheshimu Haki za Binadamu Demokrasia ni pamoja na Vyombo vya Habari kuwa Huru na Wananchi kushiriki kikamilifu katika Masuala yanayogusa Maisha yao. Hii hujenga Jamii yenye kuiwajibisha Serikali...
  9. beth

    Bulaya: Sheria zenye ukakasi zinaminya Uhuru wa Habari

    Mbunge Ester Bulaya (Viti Maalum) amesisitiza Mabadiliko katika Sheria ya Huduma ya Habari 2016 akisema Waandishi wa Habari bado wanatishwa na hawafanyi kazi kwa Uhuru kwenye baadhi ya maeneo. Amefafanua, "Leo hakuna Habari za Kiuchunguzi, hata Makala zinazoandikwa ni za kawaida. Sheria hii...
  10. Pascal Mayalla

    Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili hii Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Siku ya Mei 3 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Nchini Tanzania, siku hii imeadhimishwa Kitaifa jijini Arusha, mgeni...
  11. beth

    Hong Kong: Uhuru wa Habari waendelea kuzorota. Tovuti ya Citizen News yatangaza kufunga shughuli zake

    Tovuti ya Citizen News imetangaza kufunga shughuli zake kuanzia Januari 04, ikitaja kuzorota kwa mazingira ya Vyombo vya Habari kama sababu. Hatua hiyo imekuja baada ya Polisi kuvamia Kituo cha Stand News wiki iliyopita, ambapo watu kadhaa walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi. Sheria mpya...
  12. beth

    Hong Kong: Zaidi ya Maafisa wa Polisi 200 wavamia Ofisi ya Stand News

    Polisi imewakamata watu 6 kutoka Tovuti ya Habari ya Stand News kwa tuhuma za njama ya kuchapisha machapisho ya uchochezi. Ofisi ya Tovuti hiyo imevamiwa na zaidi ya Maafisa 200 Polisi wamesema waliidhinishwa kutafuta na kukamata nyenzo muhimu za Habari. Mapema mwaka huu, Polisi walivamia...
  13. SYLLOGIST!

    Nani ni ndio "Kunje Ngumbale Mwiru"? Mwanahalisi wajibu

    Katika pita pita za kutafuta Habari, nilikutana na video ya Mwanahlisi TV ambayo inadai "Kunje Ngumbale Mwiru" mtoto wa Ngumbale Mwiru akiomba wazee, sijui ni wazee gani,waingilie kati kesi ya Mh. Mbowe. Huyu Kunje ndio nani na Kinje ni nani? Hayati Ngombale Mwiru ndio huyu huyu anaiitwa...
  14. K

    Rais Samia anafungua Uhuru wa habari Spika Ndugai anaziba mdomo watoa habari. Hii nchi ina Marais wangapi?

    Spika wa Bunge anapotumia Bunge kunyamazisha wanannchi nikinyume kabisa na Katiba. Anapoingilia Uhuru wa vyombo vya habari ni kinyume kabisa na sheria za nchi. Kitendo cha spika kuanza kuvifunga mdomo vyombo vya habari kwa kisingizio kwamba wanaandika na kuripoti habari zakupotosha Ni kinyume...
  15. Yoda

    Watetezi wa 'Legacy' ni kipi katika haya mabadiliko msichokipenda?

    Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote? Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali? Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena? Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
Back
Top Bottom