Anana_
JF-Expert Member
- Dec 3, 2024
- 208
- 621
Wakuu, nimefanikiwa kutembea baadhi ya mikoa vijijini kama Dodoma, Kagera, Kigoma, na Mara.
Hali ya watanzania wenzetu vijijini hairidhishi, nawaza hata tungeanzisha visanduku vya misaada ya nguo ambazo hatuna matumizi nazo ili ziwasaidie wengine huko.
Najua wengi tuna nguo ambazo zipo tuu kwenye kabati na hatuzitumii, natamani tufanye hiki kitu, sio lazima kusubir misaada kutoka nje ikiwa hata hiki kidogo tunaweza kusaidiana sisi kwa sisi