uhitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maksaidy

    Ninahitaji chumba cha kupanga

    Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri. Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...
  2. Bexb

    Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida. Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na...
  3. B

    Dkt. Samizi atua shule ya wenye uhitaji maalum kushusha furaha

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Dr Florence George Samizi, Jana tarehe 26/9/2023 ametembelea shule ya Msingi Nengo iliyopo Kata ya Biturana Wilaya ya Kibondo yenye watoto wa Mahitaji Maalum akiongozana na diwani viti maalum tarafa ya Kibondo Mwanne Kihemo, diwani Barinabas Shedrack Baranzila na...
  4. B

    PreGE2025 Dkt. Samizi aungana na wanamichezo kusaidia wenye uhitaji na kumuunga mkono Rais Samia

    Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa tawi la Yanga SC pale Mukabuye. Uzinduzi wa tawi hilo la Yanga SC umekuwa na shangwe na umati mkubwa...
  5. S

    Nilitegemea uhitaji wa katiba mpya uwe kipaumbele cha kila mwana-CCM ili madhila ya Awamu ya Tano yasijirudie

    Watu mlio karibu na rais Samia msijisahau sana na wala msione mmepata na hivyo kuamua kupuuza uundwaji wa katiba mpya. Tunataka katiba itakayompunguzia rais mamlaka na itakayoweka mipaka ya uongozi wake. Lkn cha muhimu zaidi rais awajibishwe pale atakapobainika kakosea. Katiba hii ni mbovu...
  6. CONTROLA

    Mfanyabiashara mwenye Uhitaji wa Frem na Una Mtaji

    Yawezekana una mtaji na hujui wapi utapata frem au umeshatafuta sana frem lakini hupati Frem. Lakini sio tu Frem ila unahitaji Frem iliyo katike best location. Huwa sinaga uchoyo katika kuinua mtu anae hitaji kuinuka,sasa nataka kumpa mtu Frem BURE kwa muda wa miezi 6.. Nasema only for 6 months...
  7. P

    Wapi naweza kupata Bank statement?

    Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
  8. M

    Field ya IT yenye uhitaji mkubwavtanzania

    Wakubwa I hope mko powa! Nilikuw na uliza Kwa wale wenye enough understanding na maswali ya information technology ni field ipi inauhitaji mkubwa tanzania Kati ya hizi 1.networking 2.database 3.cybersecurity 4.programming 5.web development 6.data science
  9. A

    Mkataba wa TICTS haukuhitaji IGA, kwanini wa DPW uhitaji IGA?

    Kume kuwa na utetezi WA Wanaotetea nkataba WA DPW kuwa ukodishaji WA Bandari sio WA mara ya Kwanza , Kwa kutolea mfano WA Mkataba WA TICTS ambayo ilikuwa na muungano na Hutchinson ya Singapore , bula kuweka utofauti WA mikataba hii. Mosi nkataba WA TICTS haukuwa na IGA lakini huu Una WA DPw Una...
  10. benzemah

    Rais Samia Atoa Ujumbe wa Eid Al Adh'haa, Awakumbuka Wenye Uhitaji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za heri ya sikukuu ya Eid el Adh’haa kwa dua maalum akiwataka Watanzania kusherehekea kwa amani, umoja na upendo. Ametuma salamu hizo leo Alhamisi Juni 29, 2023 kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii huku akiwahimiza Waislamu kutumia siku...
  11. Roving Journalist

    Wataalamu 132 wa HDU Muhimbili wapatiwa mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa

    Wataalamu 132 wamepatiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa (Highly Dependent patients) yaliyotolewa na wauguzi bobezi wa wagonjwa mahututi (Critical care nurse specialist) na Madaktari bobezi wa mahututi. Katika hatua nyingine madaktari na wauguzi 40 wa...
  12. M

    Nina uhitaji sana wa nafasi ya kazi, nina uzoefu wa kazi katika Microfinances na NGO's

    Habari za leo wakuu. Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi. Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker. Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine. Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's...
  13. Analogia Malenga

    Uhitaji wa Upendo na Msaada wa Mwenza Katika Nyakati za Shida

    Jana, katika harakati zangu za kila siku, nilikumbana na tukio ambalo limeacha hisia nzito moyoni mwangu. Nilipokea kikaratasi kutoka kwenye Gari la Magereza, kilichotupwa kwangu na mmoja wa wafungwa aliyeniomba msaada. Nilichukua hatua ya kutokudharau na nikakisoma kikaratasi hicho. Ujumbe...
Back
Top Bottom