uhalisia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM ni cha kufikirika tu lakini hakuna uhalisia wa jinsi kitakavyotokea

    Miongo mitatu sasa, lugha inayongumzwa na wapinzani ni kufa kwa CCM, lakini mpaka ukimuuliza yeyote akuambie kitatokea lini na wapi au kitasababishwa na nini, hakuna mwenye uhakika. Wengine wanasema ni 2025, 2030, n.k, lakini ni heri wao wanaosema pengine ni 2100, na wanaosema haiwezekani...
  2. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Kwanini Masoud Kipanya hapewi PhD ya heshima? Napendekeza apewe Udaktari wa sayansi ya jamii. Hii katuni imebeba uhalisia wa jamii yote ya Watanzania

    Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku. Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

    Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe. Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
  4. aka2030

    JamiiForums Tanzania Video za kibongo uhalisia bado sana, Meja Kunta umechemka

    Iwe ni wewe ama director, mtu anaigizia kama Rubani halafu anavaa kofia ya Polisi?
  5. Mwiba

    JamiiForums Tanzania Tunaitaka Tanganyika yetu! Wakati ni huu...

    Wakati tukiwa na Rais Kikwete ambae yeye ndie aliekuwa mpiganiaji wa jambo hili alipokuwa akisota bungeni, kinachohitajiwa ni kusituliwa tu na kuambiwa ule wakati ndio huu. Tunaitaka Tanganyika. Tunataka kufuta kasoro za Muungano. Tunataka Rais wetu. Tunataka Bendera yetu. Tunataka...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kampeni nyingi za utunzaji mazingira zimekosa uhalisia

    Kabla hujaenda mbali kusoma huu uzi tazama hiyo picha kisha utuambie kama kinachofanyika hapo kinahamasisha chochote. Ndugu zangu katika mambo ambayo nimeshindwa kabisa kuyaelewa ni hizi kanpeni za kuhusu mazingira ninazoziona kwenye vyombo vya habari. Kwa upande wangu naona nyingi zinafanyika...
  7. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini waajiri wengi hapa kwetu mishahara yao haiendani na uhalisia wa gharama za maisha, na Je, ni halali kubakia hivi miaka yote?

    Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kusaidiwa kwa silaha za kivita, inamaana kuwa Mrusi anatambo nyingi kuliko uhalisia?

    Kuna mjinga atasema kwamba, hata Ukraine anasaidiwa kifedha na silaha lukuki! Ni ujinga tu! Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakalooyesha nia tu ya kuingilia mgogoro huo litachezea za moto bila huruma. Mataifa makubwa hayakuogopa tahadhari zake, moja kwa moja...
  9. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Simba na mihela ya CAF na uhalisia wa wachezaji

    Hivi ndivyo CAF walivyoitajirisha Simba, wajazwa bilioni 6.7 kwa siku 1,460 Kuanzia 2018 hadi sasa, Simba imepitia katika kipindi cha neema kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika mashindano ya kimataifa na yale ya ndani, ikitwaa mataji matatu ya Ligi Kuu, mawili ya Kombe la Shirikisho...
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa. Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje...
  11. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa UTT liquid Fund faida yake mbona ni tofauti na uhalisia wanaousema

    Habari wadau poleni na majukumu ya taifa lisiloeleweka kama sio lenye jana janja nyingi na yote ni kutokana na watanzania wengi kutokujali. Tuachane na hayo niliwai kusoma uzi mmoja huku jamii forums nikavutiwa nao nikajitaidi kufuatilia na kuuelewa zaidi basi nikaamua kuwekeza UTT amis mfuko...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa unawaambia watu kuwa “Forex inalipa”, basi kuwepo na uhalisia japo kidogo

    Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri kirahisi hufundishwa hapa.
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani

    Miaka inavyosogea ndivyo mabadiliko ya digitali yanazidi kushika kasi, mabadiliko hayo yanaenda sambamba na mabadiliko ya vyakula, vinywaji na dawa zinazotumiwa na binadamu. Hivyo ndivyo ambavyo magonjwa yanayohusu afya ya uzazi yamekuwa yakiongezeka, hii ni kwa jinsia zote Wanaume na Wanawake...
  14. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Gharama za miradi ya maendeleo nchini haziendani na uhalisia wa nyakati za sasa

    Wanabodi, Miradi ya maendeleo ya serikali ya awamu ya sita inafanywa kwa dhumuni la kuwasaidia wananchi na kutuvusha kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi kuelekea kwenye hali nzuri zaidi. Siku zote, serikali hukusudia mema kwa wananchi wake na kwasababu hiyo ni vyema kuipongeza serikali ya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utagunduaje kama Kilio cha 'Utamu' cha Mwanamke ukiwa 'Unambaioloji' ni cha Uhalisia au cha Maigizo tu?

    Majibu yenu ni Muhimu sana hasa kwa muda huu ambapo Maandalizi ya Derby za Kibaioloji yakiwa yanafanyika Maghettoni na Lodge au hata Kwingineko.
  16. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Simba "Hatukamatiki, Hatushikiki" haina uhalisia kabisa, bora "Byuti Byuti," Yanga waliona mbali sana

    Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na uhalisia, sasa simba hawamtaki hata yeye, mwaka huu mpaka moo hawatamtaki viongozi hawako serious kabisa...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnisahihishe kwa uhalisia lakini hadi sasa sijaona jamii yenye watu wenye mafanikio kuwazidi wazanzibari, wapo mbali sana na huu ni mwanzo tu

    Waznzibar wapo milioni na nusu hivi lakini mziki wao haukamatiki kwa % ya waliofanikiwa. Percentagewise ukiwaweka wazanzibari waliofanikiwa kwenye idadi ya wazanzibari wote, unapata asilimia kubwa kuzidi kabila au jamii yoyote hapa Tanzania bara. - Kibiashara wapo juu, pesa wanazichapisha...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kelele za Aweso kwenye Maji hazina uhalisia Morogoro

    Hali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ninani anamshauri Rais kuhusu Hali ya uchumi wetu? Miradi inayoanzishwa inaendana na uhalisia wa uchumi wetu? Wataalam wa uchumi mpo wapi?

    Huko twita mtifuano unaoendelea ni kuhusu tozo...tozo za miamala ya simu ,na tozo katika taasisi za kifedha. Huku mtaani mnyukano uliopo ni kupanda Kwa gharama za maisha,na Hali mbaya ya chakura nchini. Kule Kwa...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Shida ya kiongozi wa sasa anaongoza nchi kwa hisia badala ya uhalisia

    Magufuli alipokaa miaka 6 (mwaka 2018/19 walimu waliongezewa kiasi kisichozidi elfu 10 kila mwalimu) bila nyongeza ya mishahara kwa watumishi wengine watu walimlalamikia sana. Kwa tunaojua na kufuatilia uhalisia(facts) tulijua ni kwa nini Magufuli hakuwa anaongeza mishahara, ni kwa sababu...
Back
Top Bottom