uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kama Jimbo la Kawe halina maji ya Uhakika, hali ikoje huko jimboni Itilima?

    Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini. Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi Beach, Kunduchi Beach, Bahari Beach, Ununio Beach, Boko Beach, Mbweni, nk. Huku ndio kwenye makazi ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC mnataka kumsajili huyu Kipa wa Taifa Stars Yakub je, mna uhakika ataweza kumuweka Mkeka Pin Pin Camara au mnataka tu Warogane?

    Mbona tunae tu Kipa mwingine hapo huyo Dogo Abel na nimemuona ni mzuri tena hata kuliko huyu Yakub. Tuwaeleweje?
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwamba amekuta mafundi wanaiba cement hii ndio adhabu aliowapa

  4. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ikiwa CCM wana uhakika wa kushinda, Uchaguzi ni wa nini tena?

    Kama CCM tayari; 1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo), 2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua, 2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
  5. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ni Nani? Yukoje? Tunawezaje kuwa na uhakika kuwa yupo? Alianza lini? Je, tunaweza kumjua?

    Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi? Ayubu 11:7 Kila mtu amejiuliza maswali haya, aidha kwa sauti au moyoni mwake, kwa maana hatuwezi kuutazama ulimwengu unaotuzunguka bila kujiuliza kuhusu uumbaji wake. Kila siku tunakabiliwa na muujiza wa uhai na...
  6. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Rolf Kibaja: Usisambaze taarifa ambayo hauna uhakika nayo

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Rolf Kibaja, kupitia kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC Agosti 07, 2025, anawakumbusha watu wote kuepuka kusambaza taarifa zisizo za kweli pasipo uthibitishaji ili kuzuia madhara yanayoweza...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  8. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania JENGA KWA UBORA NA UHAKIKA

    🧱 JENGA KWA UBORA NA UHAKIKA! 🛠️ Unahitaji fundi wa ujenzi mwenye uzoefu na ubunifu wa kisasa? 📐 Ramani ✔️ 🏠 Ujenzi wa nyumba ✔️ 💦 Mashimo ya choo na septic tank ✔️ 🧱 Plasta, tiles, rangi, roofing ✔️ 📏 Kazi safi na kwa wakati! 📍Tupo Temeke - Dar es Salaam 📞 Piga/Sms: 0789 005 562 | 0719 205...
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majimbo mawili ambayo washindi wapili ni uhakika watarudi kuwa ndio wapeperusha bendera ya ccm

    Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya...
  10. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Alie kuja na mada kuhusu uhakika wa uwepo wa gari nzima kabisa kwa bei ya million2 majibu yake yapo chini hapo

    ndugu mwanachama ulie kuja namaada yako inayo sisitiza juu yawewe kupata uhakika wa uwepo wa magari yanayo tangazwa mitandaoni kama ulivyo sema tena kwabei ya hadi m2. majibu hapo chini. 1=gari la namna hiyo halipo labda iwe nikwamaana ya banda lakufugia panya na mende au kwamaana nyingine...
  11. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mjenzi wa uhakika kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi, Karibu tukuhudumie

    4BEDROOMS SIMPLE STOREY PLOT SIZE 600SQM CALL US +255624004650
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mna uhakika Press Ipo leo?

    Ikiwepo tafadhali mtanijuza Updates zake.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
  14. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Una uhakika kabisa Lissu akishika nchi itanyooka?

    UPO NA Imani kabisa kua LISU AKISHIKA NCHI itanyooka Toa evidence kupitia sera zake hapo chini👇👇👇
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maharagande: Miaka 64 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika

    Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Chama cha ACT Wazalendo. Mbarara Maharagande, amewataka Watanzania kukipuuza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa kimeshindwa kutatua changamoto zao hasa kwenye upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika. Maharagande ameyasema hayo wilayani Tunduru kwenye mkutano...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
  17. Wang chung

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka ni uhakika

    Biashara ya nafaka ni biashara nzuri sana. Nimefanya tafiti toka mwaka 2021 nemegundua kuwa mahindi Huwa yanashuka sana mwezi wa 7 Hadi 9 bei hufika Hadi tsh 6000 kwa debe moja(Lita 20) kwa maeneo ya vijijini (utafiti wangu nilifanyia njombe). Ila ikifika mwezi wa 2 Hadi 6 mahindi huuzwa tsh...
  18. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Wafugaji: Jua Chakula cha Kuku Kitatosha Mpaka Lini Na Zuia Wizi wa Chakula Kwa Uhakika (Bila Kubahatisha!)

    Sasa unaweza kujua chakula cha kuku kitakutosha kwa muda gani bila kubahatisha. Feed Tracker hukusaidia kufuatilia matumizi ya chakula kila siku kulingana na idadi na aina ya kuku. ✅ Hakuna tena kukosa chakula ghafla ✅ Panga ununuzi mapema ✅ Punguza upotevu na gharama ✅ Kuku wako wawe na afya...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo ambayo yamepigwa kwa uhakika na Iran

    Wanaukumbi. ⚡️🇮🇷JUST IN: Infographic of Iran’s strikes and targets during the 12 day war with Israel: Strategic assets Iran targeted: • Al-Jalil Base; Military base in the north • Haifa Port • Haifa Power Plant • Haifa Oil Refinery • Tel Nof Airbase • Mossad HQ • Kiryah Base, Military command...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba wana sababu za msingi na zisizo za msingi kutoleta timu June 25

    Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo. 1. Kuonyesha msimamo wao. Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha kutoka 15 June. Kucheza itaonyesha hawana msimamo 2. Simba wakikubali kucheza itaonyesha wamefuata...
Back
Top Bottom