Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je, hii ni sahihi kitabibu? 🤔
Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa JKCI, anasisitiza jambo moja muhimu...
Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha
Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu
---
Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi...
Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema;
"Nchi yetu pia imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa ya mafuta ya petroli; yaani petroli, dizeli, mafuta ya...
Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda
Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe
Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake
Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran
Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
Kwa niaba ya wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe mkoa wa Pwani, tuna changamoto ya ukosefu wa Umeme wa uhakika.
Haiwezi kupita siku bila umeme kukatika, pamoja na kuwa tunapeleka malalamiko yetu kwa wahusika.
Si Mkuu wa Wilaya wala Meneja wa TANESCO Mkuranga, ambaye amejitokeza...
Anonymous (67f4)
Thread
hatuna
hatuna umeme
kongowe
lazima
pwani
siku
uhakika
umeme
wakazi
Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania.
Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred.
Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu.
Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa wanawake na wanaume, kuwahasi watumwa wa kiume ili watumikie kama matowashi.
Biashara hii, ambayo ilidumu...
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Chukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa:
➡ Anaweza kutoa wastani wa lita 15–20 kwa siku
➡ Kwa bei ya sasa ya soko (maeneo mengi TZS 2,000 au zaidi kwa lita), hii ni sawa na:
TZS 30,000–40,000 KILA SIKU kutoka kwa ng’ombe mmoja tu.
Fanya hesabu kwa Mwezi utakua na bei gani?
Na tofauti na...
Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi.
Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali.
Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
Naam hili jambo nilikuwa nalichukulia poa...lakini baada ya kuamua kufuatilia kidogo naanza kupata uthibitisho pasi kuwa na shaka juu ya mzunguko wa maisha ya viumbe sisi bin adamu.
Kwa kifupi sana tafiti ni nyingi lakini......nilipata kuishi nyanda za juu kusini mwa Tanzania nikiwa kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.