uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

    Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread. TUTAKUWEPO
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kabisa binadamu mwenye IQ ndogo kuliko wote duniani ni Mtanzania

    GT Ni aibu kuitwa Mtanzania. The reference kwamba binadamu walikuwa Nyani nadhani ilichukuiiwa Tanzania.
  3. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Geuza Shamba Lako la Kuku Kuwa Mashine ya Kipato cha Uhakika kwa kutumia Fuga App

    Fuga App inakusaidia kuacha kupoteza fedha, kufuga kuku wenye afya bora, na kugeuza ufugaji wako wa kuku kuwa biashara yenye kipato cha uhakika hata kama umewahi kupata changamoto hapo awali. Pakua Fuga App leo na chukua udhibiti wa shamba lako!
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nina uhakika pasipokuwa na Mashaka kuna wanasheria wengi walikuwa hawajui black's law Dictionary

    Kuna wanasheria wengi walikua hawajui black's law Dictionary hii baada ya Lissu wanasheria wengi ndo wamefahamu hiki Kitabu
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

    Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Trading yangu ya kwanza ilikua KSH/TSH, hapa ndo utapata uelewa mzuri wa forex kuliko mentor uchwara

    Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8 nyuma nlianzaga kutrade ksh/tsh mpakani lakini ata nliondoka bado nliendelea kutrade mjini, issue iko...
  7. Asemavyo

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika kama Polepole hatagusa suala la B.O.T na gari la Kemikali

    Akifika hatua Hii watu watapigwa mawe
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutazalisha umeme mwingi wa uhakika, unaobaki tutawauzia Zambia

    Wakuu, Samia akiwa anazungumza leo, huko Songwe kasema akichaguliwa atahakikisha umeme utakuwa mwingi na wa uhakika kiasi kwamba kutakuwa na umeme mwingine ambao watauuza kwenda huko Zambia
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi wakati magufuli anakaribia kufariki alikuwa ametoa orders lakini watu flani walizizuia zisitekelezwe, ndio maana tulikuwa tunafichwa fichwa

    Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi. Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho. Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini kulikuwa na watu walioshinikiza zisitekelezwe kwa kuwa na uhakika hawezi kurudi. waliotaka...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba

    Nimeona jezi za Simba alizitengeza diadora zikiwa mbaya mno. Nina wasiwasi kama kweli jayrutty alitwambia ukweli kama diadora ndo atakuwa na mashirikiano nae ili wazalishe jezi Bora Diadora ni kampuni kutoka Italia na imejijengea heshima kubwa hasa kuvalisha mastaa wakubwa wa mchezo wa tennis 🎾...
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kama Jimbo la Kawe halina maji ya Uhakika, hali ikoje huko jimboni Itilima?

    Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini. Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi Beach, Kunduchi Beach, Bahari Beach, Ununio Beach, Boko Beach, Mbweni, nk. Huku ndio kwenye makazi ya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC mnataka kumsajili huyu Kipa wa Taifa Stars Yakub je, mna uhakika ataweza kumuweka Mkeka Pin Pin Camara au mnataka tu Warogane?

    Mbona tunae tu Kipa mwingine hapo huyo Dogo Abel na nimemuona ni mzuri tena hata kuliko huyu Yakub. Tuwaeleweje?
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwamba amekuta mafundi wanaiba cement hii ndio adhabu aliowapa

  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ikiwa CCM wana uhakika wa kushinda, Uchaguzi ni wa nini tena?

    Kama CCM tayari; 1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo), 2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua, 2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
  16. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ni Nani? Yukoje? Tunawezaje kuwa na uhakika kuwa yupo? Alianza lini? Je, tunaweza kumjua?

    Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi? Ayubu 11:7 Kila mtu amejiuliza maswali haya, aidha kwa sauti au moyoni mwake, kwa maana hatuwezi kuutazama ulimwengu unaotuzunguka bila kujiuliza kuhusu uumbaji wake. Kila siku tunakabiliwa na muujiza wa uhai na...
  17. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Rolf Kibaja: Usisambaze taarifa ambayo hauna uhakika nayo

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Rolf Kibaja, kupitia kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC Agosti 07, 2025, anawakumbusha watu wote kuepuka kusambaza taarifa zisizo za kweli pasipo uthibitishaji ili kuzuia madhara yanayoweza...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  19. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania JENGA KWA UBORA NA UHAKIKA

    🧱 JENGA KWA UBORA NA UHAKIKA! 🛠️ Unahitaji fundi wa ujenzi mwenye uzoefu na ubunifu wa kisasa? 📐 Ramani ✔️ 🏠 Ujenzi wa nyumba ✔️ 💦 Mashimo ya choo na septic tank ✔️ 🧱 Plasta, tiles, rangi, roofing ✔️ 📏 Kazi safi na kwa wakati! 📍Tupo Temeke - Dar es Salaam 📞 Piga/Sms: 0789 005 562 | 0719 205...
  20. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majimbo mawili ambayo washindi wapili ni uhakika watarudi kuwa ndio wapeperusha bendera ya ccm

    Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya...
Back
Top Bottom