Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Pamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza. Mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?
Duuh. Kwa hiyo mnataka kwenda kukopa?Pamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza.mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?
Subiria Simba aikipigwa na Berkane ntakujibuPamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza.mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?
Hawajawahi kuacha kutawala Dunia, now a days, they rule and dominate the world indirectly. Wana nguvu hata kwenye masuala ya uchumi. Hata mikopo husika kwa nchi za Afrika ina baraka zao.Pamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza.mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?
Mkopo wa biblia utaupataPamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza.mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?
NgumuMkopo angalau trilioni 30
PhD holder sio?Proposal iandikwe na Dr
Duuh hamna aibu kabisa!Pamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza.mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?