ugonjwa

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Peru yapitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia wana Ugonjwa wa Akili

    Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili. Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa uamuzi huo wa Serikali na kueleza kuwa haioni kama watu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

    Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC? NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa(...
  3. JamiiForums Tanzania Haya wale Wagonjwa wenzangu wa Ugonjwa wa Kitajiri wa Pumu (Asthma) leo ni Siku yetu ya Kimataifa

    Zifuatazo ni faida chache walizonazo Wagonjwa wote wa Pumu ( Asthma ) duniani 1. Wengi wao huwa ni Werevu sana 2. Wataugua Magonjwa yote ila kamwe hawatapa UKIMWI ( Dally Kimoko ) 3. 99% huwa au huja kuwa Matajiri sana kwani Kiasili huu ni Ugonjwa wa Kitajiri na Matajiri 4. Katika Mapenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Ugonjwa Wa Chekelea Umepotelea Wapi?

    Kipindi Cha Nyuma Miaka Ya 2000- 2012 Katikati Hapo Mashuleni Wasichana Walikumbwa Sana Na Chekelea, Hasa Bording School Walimu Walichokuwa Wanafanya Ni Kutenga Siku Za Outing Day Kila Mwisho Wa Mwezi. Au Kualika Shule Jirani Kwa Ajili Ya Debate Hasa Shule Za Boys. Baada Ya Debate Kunakuwa Na...
  5. JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa huu hatari sana kwa maumbile yako.

    TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno kwenye uke au kumea kwa nywele kwenye ovari Japo sio kitu kinachompa maumivu muhusika na hili...
  6. JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa unaoshambulia nywele (Trichomycosis)

    Je umeshawahi kukutana na mtu mwenye hali hii hapa chini kwenye picha katika sehemu yake ya kwapa/sehemu za siri? Hali hiyo hapo juu kwenye picha ni ugonjwa hujulikanao kwa kitaalamu kama Trichomycosis (trichobacteriosis). Trichomycosis ni hali ambayo inahusisha ukuaji wa bakteria kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

    Habarini za wakati huu memberz wenzangu. Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua. Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke (nikilala chali nakishika kabisa). Awali nilidhani huenda ni mchubuko tu nikajua nitapona hvo sikutilia...
  8. JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  9. JamiiForums Tanzania Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

    Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri. Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa. Zipo nyuzi nyingi za...
  10. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

    Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga. Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Princess of Wales, Kate Middleton agundulika na ugonjwa wa Saratani

    Princess of Wales, Kate Middleton ametangaza kuwa anapatiwa matibabu wa ugonjwa wa Saratani baada ya kugundulika nao. Taarifa hii inakuja baada ya sintofahamu ya muda mrefu kidogo waliokuwa nayo Waingereza kuhusu kutokuonekana hadharani kwa Princess of Wales na hali yake ya kiafya ikoje Habari...
  12. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa dada zetu

    Dada zetu huwaambii kitu kuhusu wanaume wenye miili hii ya kujengeka. Au nakosea dada zangu?
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ugonjwa wa Pangusa usipotibika uume unaweza kukatika na kudondoka chini?

    Sasa naona magonjwa yanaibuka kila siku. Nasikia huu ni ugonjwa unaoambukozwa kwa zinaa, na ukichelewa kuutibu kwa mwanaume uume huuathirika na hatimaye kukatika kabisa?
  14. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

    Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini? Haviwashi Haviumi Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
  15. JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo

    #AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis). Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt Greyson: Kubet kunasababisha ugonjwa wa kisukari

  17. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40. Hii imeibua wasiwasi kuhusu matumizi ya pombe kali na vinywaji vya kusisimua...
  18. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo waua Wanafunzi 17 nchini Nigeria

    Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha. Miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine katika shule za upili za bweni, kamishna wa elimu wa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  20. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Malalamiko ya posho ya CHWs ya uhamasishaji wa kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa Marburg Bukoba

    BUKOBA MANISPAA KAGERA ,TANZANIA Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini. Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…