Ugonjwa Wa Chekelea Umepotelea Wapi?

Msukusu

JF-Expert Member
Jun 28, 2022
207
398
Kipindi Cha Nyuma Miaka Ya 2000- 2012 Katikati Hapo Mashuleni Wasichana Walikumbwa Sana Na Chekelea, Hasa Bording School Walimu Walichokuwa Wanafanya Ni Kutenga Siku Za Outing Day Kila Mwisho Wa Mwezi. Au Kualika Shule Jirani Kwa Ajili Ya Debate Hasa Shule Za Boys. Baada Ya Debate Kunakuwa Na Sherehe Kidogo, Hii Ilichangia Wasichana Wasipate Chekelea. Je Miaka Hii Sijawahi Kusikia Debate Mashuleni Na Chekelea Sijawahi Kusikia, Ni Nini Kimechangia Kupungua Kwa Midahalo Mashuleni Na Ugonjwa Wa Chekelea???
 
pale box 2 ikikutana na Tamsala, bas Songea nzima inazizima kwa furahaa.

Kwann umeuliza Dear? Kuna watu walikua wanavutiana ulokoni,
Woiiiiih!!!
Sijui hata nimekumbuka nini😃😃😂😂..
Sema Box2 wa mwaka wetu walikua mazobazoba hata hawajachangamka tulikua tunaletewa KYGO na msamala boys😂😂
 
Hizo School Bash Hata Raia Wa Kawaida Huwa Wanaenda, Mimi Nichosema Ni Shule Kwa Shule Imepungua Sana
Sijawahi kushuhudia raia mkuu, ila kweli sikuizi naona hakuna hata ule ugonjwa wa kushake shake miguu
 
Siku hizi teknolojia imerahisisha mtongozo na namna ya kukutana watoto wanapigana sana ukuni kitu ambacho ni tiba.
 
Sijui hata nimekumbuka nini..
Sema enzi zetu Box2 walikua hawabambi tulikua tunaletewa KYGO na msamala boys
sasa msamala nayo ilikua na wavulana gan wa maana? Yess kwa Kygo hapo unyamaa,

Wanaume wa mkoa ndo jizazzzz sanaa, siku hizi tamsala ina ulinzi na masharti makali, bas wanafunzi wanajifanya wanaumwa utawakuta hapo magereza, woiiiiih
 
Hii sikubari watoto sasa hivi wanajichua wanasagana wao kwa wao
PORN VIDEO
Wazazi Wanaruhusu Vipi Watoto Kumiliki Simu, Miaka Yetu Kumiliki Simu Mpaka Umalize Form 4, Tunashindwa Wapi Kuzuia Wasimiliki Simu Mpaka Wamalize Shule?
 
sasa msamala nayo ilikua na wavulana gan wa maana? Yess kwa Kygo hapo unyamaa,

Wanaume wa mkoa ndo jizazzzz sanaa, siku hizi tamsala ina ulinzi na masharti makali, bas wanafunzi wanajifanya wanaumwa utawakuta hapo magereza, woiiiiih
Msamala wale wa Advance bhana😂😂..
Au ndomana wanajaa sana Hosmo sikuizi, usikute hata hawaumwi watoto wajinga sana hawa😂😂
 
Weruweru girls pale kilimanjaro na zile raba zao na muundo wa skirts aaaaaaaaah wee acha tu kuna mtoto alinikamataga nikala ada dadek!
 
Back
Top Bottom