ugonjwa

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tatizo la minyoo/ safura hasa kwa watoto limetokomezwa nchini?

    Kuna miaka ilikuwa mtoto akionekana mbishi wa kula, amezubaa zubaa au goigoi sana wazazi wanaambiana inawezekana ana minyoo na mara moja atapewa dawa za minyoo bila hata kumuona daktari, ila umepita muda mrefu sana sioni watoto wakipewa dawa za minyoo/ safura tena! Nafikiri hata kipindi...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa usiojulikana waua wanne Simiyu

    Watoto wanne wa familia moja wakazi wa Mtaa wa Sanungu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamefariki ghafla kwa ugonjwa usiojulikana hali iliyosababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo na kuiomba Serikali kupitia wataalamu wa afya kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha vifo...
  3. econonist

    JamiiForums Tanzania Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

    Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida. 1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa. Wengi kwenye nadharia ya kwanza...
  4. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Swali la siku: Taarifa gani umekuwa ukizisikia kuhusu Ugonjwa wa Kisukari unahitaji kujua Uhalisia wake?

    Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii. Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa. Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari? Pia...
  5. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa. Haya mambo...
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya: Taarifa ya Vifo cha Wananchi kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Kijiji Cha Itumbi, Wilaya ya Chunya

    Utangulizi Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya Chunya, kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambao umesababisha vifo vya...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kagera: Padri Elipidius hadi afanyiwe uchunguzi wa ugonjwa wa akili. Ni kuhusu kesi ya mauaji ya Albino Noela Asimwe

    Washitakiwa tisa (9) wanaotuhumiwa kuhusuka na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualbino Marehemu Noela Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa kata ya kamachumu ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamefikishwa mbele ya jaji wa mahakamani kuu ya Tanzania kwa ajili ya...
  8. kwisha

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ugonjwa wa hypertension ( shinikizo la damu)

    Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu ) Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida ) Uhatari wa ugonjwa huu upo...
  9. Mwalimu wa field

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa huu ugonjwa wa PE

    Habari wakuu Niliwahi kupost uzi tofaut tofaut kuhusu huu ugonjwa ambao kwa mujib wa wanaJF ni PE na nimetumia dawa na ushauri tofauti tofauti kutoka kwa JF experties Nini cha kuongezea hapa nilipofikia maana kuna ngozi laini sana inabanduka
  10. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke itakua anaumwa ugonjwa gani ?

    Kuna mwanamke mmoja nipo nae kwenye mahusiano na huwa tutakutana kimwili mara mbili au mara tatu kwa mwezi. Mara nyingi tukikutana huwa hatutumii kinga sababu wote tulienda kupima kipimo kikubwa na kuonekana wote damu zetu zipo safi kwamaana hatuna maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Wiki mbili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na ugonjwa wa Homa ya Ini

    Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
  12. Felix Mwakyembe

    JamiiForums Tanzania "Congo syndrome" ugonjwa unaoitesa Afrika

    Pamoja nauwepo maji ya kutosha lakini watuwanakosa maji safi na salama ya kutumia Hivi karibuni, katika Jiji la Nairobi nchini Kenya, ilizinduliwa Taarifa kuhusu Hali ya Mazingira ya Afrika kwa mwaka 2024, ikiangazia zaidi suala la upatikanaji maji salama barani humu. Kikubwa katika uzinduzi...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 28 mwezi Septemba ni siku ya kichaa cha mbwa duniani, tujikumbushe kuhusu ugonjwa huu hatari

    Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kundi la virusi waitwao Lyssa (kuna virusi wa Rabies na virusi wa Australian bat wote hawa huleta ugonjwa huu). Ugonjwa huu huwapata binadamu kwa kuumwa na mnyama Kama Mbwa, Mbwa mwitu, paka, Fisi, popo na wengineo wa jamii hiyo mwenye virusi...
  14. Daata

    JamiiForums Tanzania Je, UTI ni ugonjwa wa ngono?

    Wasalaam Sana wajumbe. Kumekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira anayo kaa mtu. Je UTI ni ugonjwa unaoambukizwa kwa kujamiiana.? Nauliza hivi kwa Sababu Kuna msemo...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

    Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri. Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo. Cha zaidi ni...
  16. The25824

    JamiiForums Tanzania Ijue tiba ya ugonjwa wa kusikiliza kila maoni ya mtu

    Kwenye maisha kila mtu ana haki ua kutoa maoni yake kwa vile anavofikiria. Bahati mbaya wengi tumeshindwa kufikia ndoto zetu au kuamua mambo yetu kwa kuishia kusoma comments za watu humu ambao bila kutafakari tumeishia kufanya maamuzi ya juu kwa juu. Ni wangapi wameacha kuanza biashara kwa...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi unatambua ndoto mbaya sometimes zinakupa taarifa za ugonjwa wako katika mwili?

    achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani. ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
  18. Emanuel Platnumz

    JamiiForums Tanzania Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

  19. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa figo umesababisha nishindwe kula kimasihara. Tunzeni figo zenu

    Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha. Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake Jamani tunzeni figo zenu maana athari...
  20. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje ukapata ugonjwa wa muda mrefu/kudumu?

    wakuu, Mimi nimeugua kuanzia 2021 hadi leo miaka minne. Nipo nahangaika. Naumwa ugonjwa wenye tiba lakini wenye usugu wa dawa. Yaani kwa kifupi ni sikio la kufa. Nadhan wapo wengine ambao wamepata magonjwa ya kudumu kama pressure, kisukari na ukimwi. TUFARIJIANE
Back
Top Bottom