#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO): Mwisho wa Ugonjwa wa COVID-19 unakaribia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020.

Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba amesema huu ndio muda wa kusisitiza chanjo kwa wale waliohatarini kuambukizwa tofauti na hapo maambukizi yanaweza kurejea, yakasambaa kwa kasi na kusababisha vifo.

Ugonjwa huo umesababisha vifo vya zaidi ya Watu Milioni 6 huku walioambukizwa wakiwa ni milioni 600.
===

End of the COVID-19 pandemic ‘is in sight’, WHO chief says

WHO urges countries to keep up their efforts to fight the disease, with lowest level of recorded cases since March 2020.

The number of newly reported cases of COVID-19 has dropped dramatically, the head of the World Health Organization has said, urging nations to keep up their efforts against the disease that has killed more than six million people.

“We have never been in a better position to end the pandemic,” WHO Director-General Tedros Adhanom Ghebreyesus told reporters at a virtual news conference on Wednesday.

We are not there yet, but the end is in sight.”

Newly reported cases of the disease, which has killed millions and infected 606 million since appearing in late 2019, last week fell to the lowest level since March 2020, Tedros said.

“If we don’t take this opportunity now, we run the risk of more variants, more deaths, more disruption, and more uncertainty.”

In a bid to help countries to do what is needed to rein in the virus, the WHO published six policy briefs.

“These policy briefs are an urgent call for governments to take a hard look at their policies, and strengthen them for COVID-19 and future pathogens with pandemic potential,” Tedros said.

He also urged nations to vaccinate 100 percent of their high-risk groups and keep testing for the virus.

The rollout of vaccines and therapies has helped to stem the severity of the disease.

The WHO warned of the possibility of future waves of the virus and said countries need to maintain adequate supplies of medical equipment and healthcare workers.

“We expect there to be future waves of infections, potentially at different time points throughout the world caused by different subvariants of Omicron or even different variants of concern,” said WHO’s senior epidemiologist Maria Van Kerkhove.

Monkeypox cases, too, were on a downtrend but Tedros urged countries to keep up the fight.

Source: Aljazeera
 
Chanjo ya nini wakati ugonjwa haupo tena? huyu Mkurugenzi wa Afya anatumwa na hao wanaotengeneza madawa ili wafanye biashara ya kuuza hizo chanjo nini?
 
Kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, maambukizi ya ugonjwa wa covid 19 uliotesa dunia kwa miaka 3 yamepungua sana.Amesema hatujafikia hatua ya kusema ugonjwa umeondoka lakini tuko karibu sana na hilo.
1663220621843.png
 
Corona ilishaisha wameshamaliza ajenda yao tusubirie tu tukio jingine au ugonjwa mwingine watakaona wao inafaa
 
Korona saivi inatumika kupigia pesa, tupo kwenye miradi huku ni kuchanja tu
 
Corona ilishaisha wameshamaliza ajenda yao tusubirie tu tukio jingine au ugonjwa mwingine watakaona wao inafaa
Tuseme ni ajenda iliyoshindwa.Walianza wenyewe US na UK kupinga chanjo.Serikali mwishowe zikashindwa. Ugonjwa haukuwepo kihivyo na haukuondoka kwa chanjo kama wanavyotaka iaminike. Ajenda imefeli. Watu wamezinduka. Sikiliza Japan nao wananchi na serikali wamekoma kuendeleza karantini.
 
Ishu ya corona imeendana na mdororo wa uchumi duniani Ili waje na ajenda nyingine. Hawa jamaa wanapambana Sana lakini Mungu wakati mwingine uivuruga mipango yao. Mfano walipanga Odinga ndie awe Rais Mungu akaingilia kati
 
Corona ilishaisha wameshamaliza ajenda yao tusubirie tu tukio jingine au ugonjwa mwingine watakaona wao inafaa
Tayari Ndui imetia timu Africa; Zimbabwe imepata maambukizi na vifo vingi
 
Back
Top Bottom