ufundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

    Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO. Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Huduma ya ufundi wa bomba katika nyumba

    Habari wanajamvi, Kwa yeyote anayehitaji au atakayehitaji huduma inayohusu uwekaji mfumo wa maji safi na majitaka katika jengo, hata ushauri tuwasiliane kupitia namba ya simu : 0754341362 au Email: hafidhi07@gmail.com
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uboreshaji wa Shule za Upili za Ufundi Tanzania kuleta tija zaidi

    Shule za Upili za Ufundi Tanzania (Technical Secondary Schools in Tanzania) ni shule maalumu zilizoanzishwa kwa dhumuni la kuandaa wataalamu. Zilijidhatiti zaidi kuandaa vijana wenye umri mdogo, mafundi makenika, umeme, useremala, ujenzi, usanifu, ushonaji na ususi. Lengo kuu lilikuwa ni kuandaa...
  4. Moody Rutunga Jr.

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu

    Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande wa hardware tunaweza kuongea zaidi. Naomba kuwasilisha.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ufundi wa pikipiki gani unalipa?

    Habari za muda huu rafiki na jamaa, Mimi napenda kujifnza ufndi wa pikiki, lakini sijui ni aina gani ya pikiki ukijua kuztengeza huweza kuleta kipato zaidi na kujifnza huko huweza kuchukua muda gani kwa mwenye uelewa? Naomba ufafanuzi zaidi.
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Elimu ya sanaa na ufundi shuleni irudishwe

    Sisi tuliosoma enzi za awamu ya kwanza, enzi za Chama kushika hatamu, tunakumbuka elimu ya sanaa na ufundi. Hili lilikua somo kamili, kulikua na walimu waliohitimu mafunzo hayo. Shule zilikua na karakana, wavulana walifundishwa useremala (labda nimekosea) na uwashi. Hata ujenzi wa madarasa na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), kuanza kuandika Vitabu vya Kiada kwa Masomo ya Ufundi Kidato cha Kwanza hadi cha nne

    Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Juni 17, 2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo amesema ni wazi kuwa wataalamu wa masomo ya ufundi wapo kwenye vyuo vya ufundi na hana shaka na wataalamu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, isaidie Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB)

    Bodi ya wataalamu na Ufundi wa Ununuzi wa Umma ni miongoni mwa Bodi muhimu zinazosimamia utaalamu hapa nchini.Bodi hii inahusika katika kuhakikisha wataalam wanaosimamia shughuli za Manunuzi hapa nchini wanakuwa na ujuzi pamoja na weledi wa kutosha katika kufanya shughuli za Manunuzi ya Umma...
  9. Paa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za ufundi pamoja na bei za vitu vifuatavyo

    To design and install video recording studio Installation of an acoustic wall to improve silence in the range of 60-70dB Installation of ceiling panels to improve silence in the range of 60-70dB Installation of LED lighting Installation of air-conditioning system Painting and decorations...
  10. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Kwani Ufaulu Kidato cha nne ni lazima ili Kusomea Ufundi?

    Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi? Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne? Nielimisheni tafadhali.
  11. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  12. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Ufadhili Wa Mafunzo ya Ufundi Stadi

    Ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza kutoa ufadhili wa nafasi zaidi ya 12,000 katika fani mbalimbali za ufundi stadi. Fursa hii tuichangamkie vijana. Fungua attachment kwa maelezo zaidi. Pia unaweza kutembelea tovuti hii. www.kazi.go.tz
  13. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
  14. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Swali LA KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?

    Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe? Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme. n.k. Hudaiwa huku mitaani kwamba wale waliojifunza vyuoni "hujua ya vitabuni tu, lakini ukimleta mtaani, huwezi kumlinganisha na aliyejifunza...
  15. Mechanic 97

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ufundi na nyinginezo

    Habarini wanajamiiforum mbele yenu ni kijana wa miaka 24 ninatafuta kazi kwa Sasa nipo dar. Elimu yangu ni NTA level 4 in mechanical engineering na Advanced certificate of secondary school in PCM. Vya ziada Nina uwezo wa kufundisha, kuchora kiasi na computer kidogo. Jamani mwenye connection...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

    Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda. Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake. Badala yake watoto...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TFF, Benchi la Ufundi la Taifa Stars huko CHAN 2021 nimeshamaliza Kazi kwa Kikosi hiki Namibia leo na Guinea Wiki ijayo wanakufa!

    ANGALIZO Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia. Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu.... 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Yassin Mustafa 4. Ibrahim Ame ( kama bado hajapona aanze Dickson Job )...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Chuo gani Dar kinafundisha Ufundi pikipiki?

    Msaada kwa anaefahamu veta inayofundisha ufundi wa pikipiki kwa DSM
  19. Sosoma Jr

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Jeshi, Ufundi Magari na Sabato

    Kijana mwenye umri wa miaka kumi aliketi ametulia akisikiliza kwa makini hotuba yake ya kwanza katika Kanisa la Waadventista wa Sabato. Mhubiri alieleza kuhusu mfanyakazi wa Posta ambaye alipokea barua inayoenda kwa Santa Claus (Babu Krismasi). Kijana mdogo alikuwa ameandika barua kwa Babu...
  20. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Tuwe na vyuo vya ufundi vingi sasa

    Hello JF... Nimeona kilio cha wahitimu wetu wa University kuongezewa deni la mkopo. Hii ipo nchi nyingi duniani. I understand, deni linafidia na kuwasomesha wengine. ila ingependeza kama serikali ingejenga colleges ambazo zinatoa course almost similar but at cheaper price, kiasi kwamba...
Back
Top Bottom