ufundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa mkurugenzi wa ufundi Gwambina fc

    Aliyekuwa kocha wa Zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ametangazwa na team ya Gwambina fc kuwa mkurugenzi mkuu wa ufundi wa team hiyo. Gwambina inakuwa team ya kwanza Tanzania kuwa na cheo Cha mkurugenzi mkuu wa ufundi, mfumo huu Ni mahususi Sana bara la ulaya mfano mzuri pale Chelsea mkurugenzi mkuu...
  2. TDSF

    JamiiForums Tanzania Fursa ya mafunzo ya bure ya ufundi kwa viziwi

    Shirika lisilo la kiselikali la Tanzania Deaf Skills Foundation TDSF, Kwa kushirikiana na Chuo cha ufundi stadi cha Moravian Kyela, wanatarajia kutoa mafunzo ya ufundi kwa viziwi kwa kutumia lugha ya alama. Mafunzo hayo ya miezi mitatu darasani na miezi mitatu mafunzo kwa vitendo, yamefadhiliwa...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ije na Sera ya kufufua Vyuo vya Ufundi

    Team, Tunaishi kwenye ulimwengu ambao ukosefu wa ajira rasmi umekua tatizo kubwa sana, Tanzania haiwezi kujitenga na ukweli huu. Sasa, kwakuwa Serikali sikivu ya CCM imeua vyuo vya Ufundi na vile vya jamii ni vyema CHADEMA ikaunda na kutamka wazi wazi kuvifufua vyuo hivi. Vyuo hivi baadhi...
  4. Mdugo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa ufundi simu

    Salaam wana jukwaa. Naomba nianze moja kwa moja bila kupoteza muda. Mimi ni mhitimu wa Chuo cha Kikatoliki Mwenge, Moshi katika Bachelor of Science With Education. Katika pita pita zangu nimefundisha shule kadhaa tangu nimalize mwaka jana, Ila naomba kupata ujuzi zaidi katika Ufundi wa Simu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri wa Elimu kusikia malalamiko yangu niliyoyaweka JF japo walimu walinishambulia

    Naipongeza wizara ya elimu kwakusikia malalamiko niliyoyafikisha kwenu kupitia jukwaa letu pendwa la jf. Nilileta uzi nikiwatetea wazazi na kuwatuhumu baadhi ya walimu wa shule za secondary na msingi nilianza na shule ya secondary ya kata wilayani magu kwa kuagiza watoto wapeleke kilo10 za...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha nne kwenda form 5 na vyuo vya ufundi

    Naomba kujua mwanafunzi akichaguliwa direct kwenda Chuo badala ya form 5 je gharama za Ada zinalipwa na serekali wenyew aw mzazi ndio anapaswa kulipiaaa
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Masomo ya Civics, Kiswahili na Historia yaondelewe yawekwe ya Kilimo, Ufugaji na Ufundi

    Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo Masomo ya O level kama Kiswahili, Civics na Historia yanapoteza tu muda watoto. Yawekwe masomo ya kilimo na ufugaji kuanzia wa wanyama, ndege, samaki na some la ufundi wa kutengeneza vitu kutokana na raslimali...
  8. Sangoma

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vifaa vya ufundi simu upande wa hardware

    Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Inawezekana makamanda wa Chadema waliohamia CCM ni magarasa na turufu bado zimebaki Ufipa maana bado wanaonyesha Ufundi!

    Nimesikiliza kauli moja tu ya mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa akikiri kuwa ana undugu na Rais Magufuli. Na zaidi Mchungaji Msigwa akasema kama wanafamilia "wao" wana namna wanavyoshughulikia mambo yao. Nilichojiuliza ni kwanini Mchungaji Msigwa hajawahi " Kujimwambafy" kwamba yeye ana...
  10. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Unaangalia vitu gani wakati wa kukagua gari jipya au lilotumika ?

    Habari zenu, Aisee ni vitu gani muhimu vya kuangalia wakati nachukua gari jipya au lililotumika?
  11. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

    Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema. Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...
Back
Top Bottom