Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika
Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona
Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda.
Hapa bongo leo imetoka kauli tata.
Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa.
Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro imeingia kwenye Kashfa kubwa hasa baada ya mwaka 2015 pale Uongozi ulipobadilika.
Kabla ya mwaka 2015 , mkoa ulikuwa unajengeka, msafi na una maendeleo, alipoingia JUMA RAIBU[Meya aliyeondoshwa] alianza kutoa vibali vya ujenzi katikati ya mji kujenga nyumba...
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa.
Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa
Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka mabaya
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.
Pia soma
- Chawa wa Mama wacharuka...
Hauhitaji kuwa mwanasheria kufahamu maana na dhana ya haya maneno ya IGA na HGA.
Makubaliano ya taifa moja na taifa moja jingine au zaidi yenye nguvu za kisheria (legal binding), yanayohusu kushirikiana kutatua matatizo fulani yanayozikumba nchi zote husika yanaitwa Treaty. Maneno mengine...
Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Kuleta mabadiliko katika nyanja zote za utawala bora ni changamoto kubwa, lakini pia ni fursa adhimu kwa...
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru
wa kutoa maoni.
Kauli yake nyingine ni ile aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa mikoa ya nyanda za juu...
MKULIMA aliyeshtaki kina Mwigulu, Makamba na Prof. Mbarawa kuhusiana na ufisadi uliotajwa na CAG atakuwa ni miongoni mwa watanzania wazalendo watakaohutubia mkutano mkubwa wa kupinga kuuzwa bandari kwa mwarabu.
Mkoani kwangu kilo Moja ni Kati ya sh.3300-3500, Wafanyabiashara tupeni sababu Kwa nini bei Imepanda ghafla kiasi hiki? Ukiuliza wanasema Sukari haipatikani.
Serikali chonde chonde fanyeni hima bei ya Sukari irudi kule kule Kwa kilo sh.2700-3,000
----
Kupanda kwa bei ya sukari kumeanza...
Na. M. M. Mwanakiji
Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.
Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0
Wakati wa JMK...
UTAWALA WA SHERIA: SILAHA DHIDI YA UFISADI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Ufisadi ni mojawapo ya changamoto kuu zinazokumba mataifa mengi ulimwenguni, hususan yale yanayoendelea. Ufisadi unaharibu uchumi, unazuia maendeleo, unatishia usalama na unakiuka haki za binadamu. Kupambana na...
Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo;
Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi.
Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho...
Usilazimishe watetee uovu.
----
MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
Kuna maneno matatu ambayo ni vigumu sana kuyatenganisha, hata kuyaelezea maana yake ni vigumu kumaliza bila kuhusianisha na neno au maneno mengine kati yake. Maneno haya ni RUSHWA, UBADHIRIFU na UFISADI.
Nataka kujikita zaidi katika dhana ya UFISADI. Nitaeleza kwa ufupi maana ya neno Ufisadi...
⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza.
Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.