Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,809
218,463
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR, bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar, tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar.

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid, Lusinde, Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani.

Bali tunachowaambia ni hiki, Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya, tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo, ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa.

Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu.

Mungu Ibariki CHADEMA.
 
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba , kimeandaliwa kikundi cha Dharula cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii , redioni , barabarani , vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR , bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu , na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar , tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba , miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid , Lusinde , Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani .

Bali tunachowaambia ni hiki , Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya , tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo , ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa .

Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu .

Mungu Ibariki Chadema .
Huyo Mbowe ni chimbo la kikwete, ni mpinzani mnafiki aache unafiki wa kujipachinga mpinzani ilihali ana mgao wake kwa ccm
 
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba , kimeandaliwa kikundi cha Dharula cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii , redioni , barabarani , vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR , bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu , na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar , tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba , miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid , Lusinde , Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani .

Bali tunachowaambia ni hiki , Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya , tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo , ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa .

Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu .

Mungu Ibariki Chadema .
Wewe unamzungumzia Mbowe yeye katoa maoni yake! Hata pimbi kama wewe nawe una nafasi ya kutoa maoni yako na ushauri wako kuliko kumwona huyu mtu kama msemaji wa familia ya yenu!
 
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba , kimeandaliwa kikundi cha Dharula cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii , redioni , barabarani , vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR , bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu , na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar , tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba , miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid , Lusinde , Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani .

Bali tunachowaambia ni hiki , Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya , tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo , ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa .

Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu .

Mungu Ibariki Chadema .
Mwandishi mwenye tumbo kubwa kama tube za trekta.
Mwandishi mfupi mtetea ushoga twitter.
 
Mbowe kweli alikosea kuingiza Zanzibar na Wazanzibar, angepinga tu kama mtu mwelewa.

..sio sahihi kwa wizara isiyo ya muungano, kama ya ujenzi, kuongozwa na Mzanzibari.

..hili ni kosa la Raisi Ssh, na sio sahihi kumlaumu Freeman Mbowe.

..Ssh ameteua Wazanzibari kuwa Wakuu wa wilaya za Tanganyika. Hayo ni makosa pia.
 
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba , kimeandaliwa kikundi cha Dharula cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii , redioni , barabarani , vichochoroni na kwenye TV na media zote.

Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba Ameibagua Zanzibar kwa KUFICHUA KWAMBA MKATABA WA KUUZA BANDARI HAUJAGUSA BANDARI ZA ZANZIBAR , bali zilizoguswa ni Bandari za Bara tu , na kwamba aliyesaini mkataba huo ni Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni Mzanzibar , tena katika uongozi wa Rais aliyetokea Zanzibar .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba , miongoni mwa mamluki waliotangulizwa mbele kumshambulia Mbowe yumo Hamad Rashid , Lusinde , Msukuma na wengine kadhaa kutoka vyama vya Upinzani .

Bali tunachowaambia ni hiki , Mbowe hatobabaishwa na mashambulizi duni kama haya , tena kutoka kwa watu wasiojielewa kama waliotajwa hapo , ataendelea kusimamia ukweli bila kumung'unya maneno bila kujali mawe atakayorushiwa .

Wananchi wote wameelewa makando kando yote yaliyogubika Mkataba huu .

Mungu Ibariki Chadema .
Hakuna mwenye muda wa kumshambulia mtu alopata Division 0 Form 4
 
Mimi na wewe wote, wasikilizaji tu.

Mjumbe auwawi, mi nimeleta habari tu.

Anyway anadai Mbowe mzushi tu ina maana akiwa raisi ataongelea mlima Kilimanajaro kwa sababu ndipo alipo toka nakuacha maswala mengine ya kitaifa.

Anamtuhumu baba mkwe wake mzee Mtei kuiba hela bank kuu na kuichoma moto kupoteza ushahidi akiwa gavana.

Anadai shida ya Mbowe ni kuwa mwenyekiti wa muda mrefu, mpaka kuishiwa maarifa.

Na mengine kadha wa kadha.

..Ccm walipaswa kumtuma mtu mwenye akili kumjibu Mbowe.

..Lusinde amechemka ktk kauli nyingi alizotoa kumjibu Mbowe.

..Kosa moja la Lusinde ni kudai Benki Kuu iliungua wakati Edwin Mtei akiwa Gavana.

..Pia Mbowe hajapinga Ssh kuwa Rais wa Tanzania, alichopinga ni Mzanzibari kuteuliwa ktk wizara isiyo ya muungano.
 
Back
Top Bottom