ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Famasi na radiology

    Habari wakuu Ninaomba ushauri Kwa mdogo wangu asome kozi ipi Kwa ngazi ya degree kati ya famasi na radiology,na ipi Ina nafasi nzuri Katika kujiajiri mwenyewe hata ukikosa nafasi ya ajira serikalini nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo
  2. E

    JamiiForums Tanzania UMEME 'KUSHTUKA', TANESCO WATUPE UFAFANUZI...

    Nimetumia neno 'kushtuka' kwa sababu huu si ukatikaji wa umeme uliozoeleka. Kwamba kwa siku za karibuni nimeshuhudia umeme ukikata na kurudi kwa sekunde moja au mbili; na hii imetokea zaidi ya mara tano katika kipindi cha saa 12. Hali hii nimeishuhudia nikiwa nimejituliza nyumbani siku ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi unafanya kazi muda wa miaka hata mitatu halafu NSSF inasoma zero?

    Habari zenu wadau, mimi nlikuwa nauliza hivi, kwani kazi ya kushughulikia makato(ile 20% ya mshahara kama sikosei) NSSF baina ya kampuni na mfanyakazi ni jukumu la nani? Na inawezekana vipi unafanya kazi muda wa miaka hata mitatu halafu NSSF inasoma zero?? Naombeni ushauri juu ya hili wadau
  4. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa hili jambo nitaelezea kidogo ufahamu wangu

    Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi. 1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa ndani muda wote. 2. Kupunzika. Baada ya kazi ni vema kupata muda wa kutosha upunzishe mwili na...
  5. BRO LEE

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi

    Habari wana jamvi, naomba ufafanuzi wa kisheria kwa jambo hili. Bwana X aliomba mkopo wa benk kwa dhamana ya nyumba ambayo ilikuwepo eneo ambalo halijapimwa na viongozi wa mtaa wakadhibitisha hati ya mauziano kisha bank ikatoa mkopo. Bwana X akashindwa kulipa mkopo wake bank ikaikamata kupitia...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kisheria kwenye jambo hili

    Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa. Mfano badala ya kusema JamiiForum wamefanya hivi au vile, yeye akasema 'jamaaforum!' Je, JamiiForums...
  7. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Je, mkojo huambatana na bomu? Ufafanuzi wa kisayansi

    Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo. Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa... Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha stendi unamaliza kutoa haja halafu bomu linabana mno unajikuta unaliachia kiwizi wizi bana. Nimetafakari...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusiana na Serikali kufungia Makanisa yasiyokidhi viwango vya kutoa huduma za kiroho

    Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Afisa anayetuhumiwa kuingia mitini na fedha za madereva za kulipia Leseni za LATRA asimamishwa kazi

    Dar es Salaam, 18 Julai, 2024 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwenye hii Picha ya Kim Jong Un na Raisi wa Ukraine

    Jamani hii Picha ninayo iona hapa ni ni ya kweli au imetengenezwa na akili mnemba AI
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
  12. FundiNgoma

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa atoe ufafanuzi hapa

    Ni kuhusu upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma unaoendelea mwaka huu,ni kazi nzuri ya serikali yetu kongole sana Rais wetu.. Swali ni je kuna watumishi walioko masomoni mpaka sasa vipi nao wanapanda? Na kama hawapandi wakirudi kazini wakija kupanda cheo si watazidiwa muda wa cheo na wenzao...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga na Sio azam

    Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii. Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa. Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na...
  14. Pekejeng

    JamiiForums Tanzania Serikali huwa inakuwa wapi kutoa ufafanuzi mapema?

    Kwa mtazamo wangu haya mambo yakuleta ufafanuzi baada ya kuibuka mijadala ambayo serikali inaona ni upotoshaji, Huwa inaleta sana ukakasi na sitomfahamu nyingi kwa wananchi kwanini wasiwe na utaratibu wakutupa taarifa yakila mikataba/mikopo mapema na kwa uwazi zaidi. Isiwe inakaa kimya mpaka...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea. PIA SOMA - VoA...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mkopo kutoka Korea hauna masharti ya kuweka rehani rasilimali za nchi

    UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA Mobhare Matinyi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Dar es Salaam Juni 4, 2024. Saa 8:00 Mchana. Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nimeghairi kuuza shamba langu ambalo mnunuzi ameshalipia nusu ya hela, Nifanyaje?

    Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani! Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano! Je, mimi muuzaji...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji Malamba Mawili

    Eneo la Malamba Mawili ambalo lipo kata ya msigani linahudumiwa kupitia mtambo wa Maji Ruvu Juu. Kutokana na maeneo hayo kuzungukwa na vilima vikali na hupata maji siku ya Jumanne, Alhamis na Jumapili, lakini baadhi ya maeneo kushindwa kupata maji pindi msukumo wa maji unapokuwa mdogo. Mamlaka...
  19. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Wataalam Wa Mawasiliano Naombeni Ufafanuzi

    Hizi cable/mkongo wa internet unaodaiwa kukatwa chanzo chake ni wapi hadi kutufikia hapa Tanzania? Ila pia mawasiliano ya sasa tunaambiwa ni wireless, sasa kama kuna cable zinapita baharini kuja kuwezesha mawasiliano hapo u wireless unatokea wapi? Mwisho kabisa kwa walio wahi kutumia simu za...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Ombi, ushauri au ufafanuzi ofisi za NACTE ofisi za Dar es Salaam

    Habari zenu ndg zangu, Ndugu zangu naomba ufafanuzi au ufahamu na ufafanuzi juu ya hali anayopitia mdogo wangu, mdogo wangu kafuata TRANSCRIPT yake ofisi za NACTE DAR tarehe 29/05/2024 akajibiwa arudi baada ya may-mosi yaani tarehe 02/05/2024 na akarudi tarehe hzo lakini alijibiwa MTANDAO UPO...
Back
Top Bottom