ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANROADS: Ujenzi ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), umesema ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri na utakamilika kama ulivyopangwa. Pia, umesema kuwa mpaka sasa mradi huo ambao utakwenda kupunguza tatizo la msongamano wa magari...
  2. Nataka kujiunga na Upadre ila kuna ufafanuzi ambao sijaupata

    Habari za wakati huu wanajamii. Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi. Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake. 1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre? 2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea...
  3. Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  4. Mbunge Jerry Silaa na ufafanuzi wa Askofu Bagonza

    ''Bunge la TZ ndilo limekosewa lakini adhabu inaenda kwa bunge la Afrika Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga. Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema anakatwa.''- Askofu Bagonza Hizi ndio PHD sasa
  5. B

    Maeneo aliyoyatolea ufafanuzi Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

    Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu Msigwa wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Serikali. Haya ni sehemu ya maeneo...
  6. MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

    Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini. Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
  7. Nani anayehusika kupeleka takwimu za maambukizi ya COVID-19 Africa CDC?

    Kwa mujibu wa taarifa zilizopo Africa CDC inaonekana mpaka tarehe 19 August 2021 Tanzania ina visa 16,970 vya maambukizi ya virusi vya corona na vifo 50.Pia WHO inaonyesha kuna visa 1,367 na vifo 50. Je, hizi taarifa ni rasmi ? Kuna makosa yaliyofanyika au ni hujuma ? Kuna umuhimu wa jambo...
  8. Halmashauri ya Temeke jitokezeni muwape ufafanuzi juu ya utwaaji ardhi unaonekana ni wa kiholela unaondelea kwa baadhi ya maeneo

    Habari wadau..! Napita pita zangu baadhi ya mitaa ya Temeke,Chang'ombe,Vetenary,Keko kote huko kuna harakati za watu kuhamishwa makazi yao wengine wanavunja nyumba zao wanakubali kupokea pesa kidogo kutoka kwa watu wanaozaniwa wawekezaji pia kuna baadhi ya watu wanawatisha wenyeji wenye nyumba...
  9. J

    Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

    Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili. Mnyika ameandika katika ukurasa...
  10. Mahakama yaita mashahidi katika kesi ya Ole Sabaya

    Gazeti la Nipashe la leo limeinukuu mahakama ikisema kwa sasa ipo tayari kupokea ushahidi kutoka kwa wote waliobakwa na kuteswa na Lengai Ole Sabaya alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai. === Hakimu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha, alitoa agizo hilo jana mahakamani huko baada ya kushindikana...
  11. Tuhuma kuwa viongozi wa kitaifa hawakuchanja chanjo zikanushwe na ufafanuzi utolewe, zinapotosha na kutia hofu Wananchi

    Hizi tuhuma zinaenezwa sana kupitia mitandao ya kijamii. Hii mitandao ya kijamii ina nguvu sana maana ndio source of information. Wanaoeneza hizi tuhuma wameenda mbali na kudai kuda hata hawa viongozi walipokuwa wakionyesha umma kuwa wanapata chanjo manesi waliowadunga chanjo hawakuvuta dawa na...
  12. Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science

    Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science. Na ina utofauti gani na BAF
  13. Ufafanuzi: Muuguzi aliyemchoma chanjo Mhe. Rais Samia na viongozi wengine kutovaa mipira ya mikono (gloves)

    Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19. Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine alikuwa anatekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu zote ikiwemo...
  14. Ufafanuzi namna ya kugawana pesa za Simba SC Tanzania

    Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo. Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji. Hesabu za kupata gawio...
  15. S

    Upandishaji wa madaraja kwa Watumishi wa Umma: Waziri wa Utumishi tunaomba utoe ufafanuzi

    Mhe. Waziri wa Utumishi, ili kuondoa manung'uniko, upotashaji na sintofahamu iliyotokea baada ya mishahara ya mwezi huu wa June kutoka huku baadhi ya watumishi wakiwa wamepandishwa madaraja na kupata mishahara mipya ila hali wengine hakuna kilichobadilika, nakushauri utoe ufafanuzi wa jambo hili...
  16. D

    Wizara ya Nishati na madini toeni ufafanuzi; kwanini soko la shaba (copper) limepaa maradufu?

    Kuna malalamiko mengi sana juu ya soko la shapa kupaa! Gharama ya mauzo na manunuzi ya shaba (copper) imepaa sana kwa zaidi ya 45%-55% ya bei ya awali je tatizo ni nini? Nani anafahamu kwa nini soko la madini hayo limepaa sana? Shida iko wapi? Wenye majibu tafadhali
  17. Serikali itoe ufafanuzi kwanini kuna watu waliostahili kupata daraja jipya hawajapata

    Naaam, Kwa taarifa nilizonazo sio wote waliostahili daraja jipya la mshahara wamepata. Kuna kundi kubwa la watu wametoka bila bila Serikali itoe ufanunuzi kwanini hao wengine wamewekwa reserve. Je, watapanda lini? Na je, hamuoni mnatengeneza tatizo jipya la malimbikizo huku mkitatua la...
  18. Naomba ufafanuzi juu ya Kodi ya Jengo

    Wadau nimemsikia Waziri akitangaza kuhusu KODI ya Jengo kuwa Kila NYUMBA yenye UMEME Kodi hiyo italipwa Kwa kukataa kwenye LUKU. Naomba kujua Machache. 1. Kodi ya Jengo ni Kiasi gani? 2. Je, Kiwanja kama ni kimoja kina Nyumba 3 na kila Nyumba ina LUKU Je Nyumba zote 3 zinalipa KODI? 3...
  19. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu ninaomba ufafanuzi wako kidogo juu ya Makato ya Vocha

    DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...
  20. Waziri Dkt. Mwigulu atoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu na kuleta mkanganyiko kwa wananchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko kwa wananchi ikiwemo makato ya miamala ya simu, kodi ya majengo kwa njia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…