Tetesi: Bar ya Forty Forty Tabata imefungwa miezi zaidi ya 3, mmiliki yuko jela kesi za uhujumu uchumi

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,450
17,152
Wale wapenzi wa bar maarufu Tabata Bima Junction mtakua mashahidi, hii bar imefungwa zaidi ya miezi 3. Awali watu wengi walidhani labda ni sababu ya Corona lakini sio kweli.

Mmiliki wa Forty Forty investments alikuwa ni mmoja wa wahasibu wa wizara ya utalii waliotafuna zaidi ya Billion 4 ambao Rais Magufuli aliamuru wakamatwe na kufikishwa mahakamani.

Sasa boss kubwa huyo yupo jela ananyea debe huku akipambana na kesi yake ya kuhujumu uchumi na kutakatisha pesa.
 
Kumbe ndipo alipotoa mtaji huko....

Wawaachie na madogo wapo kitaa nao waingie job wapate mtaji...

Anyways twendeni Kitambaa Cheupe sasa
 
Sure, kwa malaya 40 40 haikua na masihala. Hasa VIP ilikua na malaya wa kufa mtu.
Ila kwanini wamiliki wa Bar za aina hii huwaga wana associate na scandal za kutisha?

Kwa huku mkoa kulikuwa na Bar inaitwa "Mekus Bistro" ilijizolea umaarufu mkubwa sana hasa kwa wageni kutoka mkoa wa Dar hasa wale ndugu zangu wa aika mbee!

Cha ajabu ilivunjwa kwa amri ya mahakama na wana Takukuru. Mmiliki alikuwa na msala wa uhujumu uchumi na acc. yake inasemekana ilikutwa na 20B ambayo uhalali wake ni wa kutatanisha wakati cease kwa tetesi kwamba ilikuwa kijiwe cha wauza ngada.
 
Bar imefungwa au mmiliki ndio amefungwa?

Kwamba uongozi wa bar ulishindwa kujiendesha kisa boss kafungwa au namna gani?
Inategemea tatizo la watu wengi wanapenda kufanya biashara, kimya kimya bila kutaka kuhusisha mke, watoto, ndugu, ili hata kesho na kesho kutwa yakitokea majanga waweze kuendeleza!! Tofauti na wahindi, na hata hapa tz, mfano mzuri ni wachaga utakuta na wanafamilia wanaijua vizuri hiyo biashara!!!
 
Yeah, ni kweli. Watu wengi wanafanya sana hilo kosa la kuficha namna anavyopata hela. Hapo unakuta mke na watoto wanafurahia huduma na hela za kupewa tu bila kujua mzee anazitafuta vipi.

Majanga yakitokea kama hivi ndio kilio, na mbaya kikitokea kifo na mali nayo inakufa mwisho wa siku walimwengu wasivyokuwa na dogo utasikia yule mzee alikuwa na pesa za kimazingira! Kumbe ni vile hakuandaa msingi mzuri wa usimamizi na muendelezo wa mali zake.
 
Ila kwanini wamiliki wa Bar za aina hii huwaga wana associate na scandal za kutisha?

Kwa huku mkoa kulikuwa na Bar inaitwa "Mekus Bistro" ilijizolea umaarufu mkubwa sana hasa kwa wageni kutoka mkoa wa Dar hasa wale ndugu zangu wa aika mbee!

Cha ajabu ilivunjwa kwa amri ya mahakama na wana Takukuru. Mmiliki alikuwa na msala wa uhujumu uchumi na acc. yake inasemekana ilikutwa na 20B ambayo uhalali wake ni wa kutatanisha wakati cease kwa tetesi kwamba ilikuwa kijiwe cha wauza ngada.
Hata sielewi mkuu.

Mshikaji wa Forty Forty amekamatwa miradi mingi ikiwa haijakamilika. Sijui na yenyewe imekamatwa au kusimamishwa na serikali ama lah.

Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom