Raha ya Uchumi wa kati ndio hii kila mwanaCCM anataka kwenda Bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Ni kwamba hakuna anayekubali kubakia nyuma kila mtu sasa anataka kuwa mbunge ili afaidi mema ya uchumi wa kati.

Usipochukua fomu za kugombea Ubunge unaonekana ni mshamba au ni mbahiri usiyetaka kuchangia chama.

Ngoja tuone kama na kesho foleni ya kuchukua fomu itakuwa ndefu kama ya leo.

Hongereni Ufipa maana kuna majimbo hakuna wagombea au kuna mgombea mmoja tu kama Bunda mjini.

Maendeleo hayana vyama
 
...
IMG-20200714-WA0100.jpg
 
Waajiriwa mpaka leo hawana nyongeza ya mishahara, wameambiwa mpaka mabarabara na ma tereni na sitigila goji yakamilike, ndipo wataongezewa mapesa mengiiiii.

Waajiriwa wameona bora wakagombee ubunge, 10+m kwa mwezi, baada ya miaka 5 anakula mpensheni wa 200+m, bora wajilipue huko wasake gudi laifu.
 
Ni kwamba hakuna anayekubali kubakia nyuma kila mtu sasa anataka kuwa mbunge ili afaidi mema ya uchumi wa kati.
Usipochukua fomu za kugombea ubunge unaonekana ni mshamba au ni mbahiri usiyetaka kuchangia chama.

Ngoja tuone kama na kesho foleni ya kuchukua fomu itakuwa ndefu kama ya leo.

Hongereni Ufipa maana kuna majimbo hakuna wagombea au kuna mgombea mmoja tu kama Bunda mjini.

Maendeleo hayana vyama!
Chadema wamapandikiza mamluki wengi ccm, kifo Cha ccm linakuja kwa kasi,

Mataga wenzio watakuja kushangilia e
wakidhani chama Chao kichovu kinapendwa
 
Back
Top Bottom