uchumi

  1. M

    SoC01 Ushauri: Kupunguza miaka ambayo Wanafunzi hutumia katika masomo ili kukuza Uchumi

    Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia katika masomo. Kwa mwanafunzi kufikia chuo kikuu mwaka wa tatu itakuwa imemchukua zaidi ya miaka 15...
  2. Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  3. Uhaba wa madereva wa Malori unatishia uchumi wa Uingereza

    Source BBC14, July 2021 Uingereza inakabiliwa na uhaba wa madereva wa malori, upungufu uliopo ambao unahitaji kuzibwa haraka ni maderava 100,000. Athari zilizotokea mpaka sasa ni Nandos kufunga baadhi ya migahawa yake wa kukosa malighafi. Mc Donald kuacha kuuza milk shake kwa kukosa supply...
  4. L

    SoC01 Gereza ni Shule ya Uchumi

    GEREZA NI SHULE YA UCHUMI Gereza ni sehemu au makazi ambapo wakosefu wa sheria za nchi Fulani wamekua wakiishi kwa ulinzi na uangalizi mkali. Inafahamika kua gereza ni sehemu ya kuadhibu watu ambao wamekiuka maadili yaliyowekwa na jamii ya watu Fulani au nchi Fulani. Katika Maisha ya kawaida...
  5. Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

    Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita. Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi inayo mkabili na wenzake Sita.
  6. Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

    Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310. Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
  7. Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  8. Mshahara wa mwezi Agosti 2021

    Wakuu tushtuane kale ka meseji kakiingia au mkiona msongamano usio wa kawaida kwenye ATM. Wasiohusika kaeni pembeni
  9. Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

    Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70. Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower...
  10. S

    Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  11. Rais Samia ashauriwe vyema uchumi unakufa

    Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza kuajiriwa katika maisha yao yote. Watu watamaliza vyuo lakini hawatapata fursa ya kuajiriwa katika...
  12. Kwanini Lusubilo Mwakabibi pamoja na kushitakiwa kwa uhujumu uchumi lakini ameachiwa kwa dhamana?

    Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania, kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana. Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za...
  13. Yaani hizo Tozo zinazochukuliwa haziwezi kuchochea ukuaji wa uchumi

    Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
  14. Je Tanzania bado iko uchumi wa kati wa chini au imeshapanda zaidi kiuchumi?

    Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata. Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina. Pia...
  15. Biashara Zimestuck na Hali ya uchumi si nzuri...

    Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana 1.watu wengi sana wanafungua biashara then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa 2. biashara ya daladala zimedoda sana mida ya saa tatu hadi saa tisa 3.ugonjwa umechangia sana...watu hawatoki hovyo, nahisi kama...
  16. Rais Samia: Don't rock the boat. Biashara na uchumi vitayumba

    Kwanza nina declare position, Mimi ni mwana CCM. Tena ni mfanya biashara. Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia. Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo. Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni. Nilipata ahueni sana...
  17. Kama kweli tunataka kujenga uchumi tupunguze bei ya vifaa vya ujenzi

    Asalam-aleikoum Wana-JF, Nimeona nitoe hoja yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa ya kuanzisha tozo kubwa za miamala ya mitandao kwa kisingizio cha kujenga uchumi. Lakini matokeo yake tunayaona, watu wanalia kila kona ni maumivu. Hoja yangu ni kwamba badala ya tozo hizi mpya ambazo ni kuongeza...
  18. Changamoto za kuwa uchumi wa kati ni maumivu ya kodi kuwa juu

    Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo; 1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara. 2.Kukoma au Kupungua kwa misaada ya wahisani.kama misaada ya kibajeti nk 3.Kuanza kujitegemea kwa kila...
  19. Kenya Vs Tanzania: Wapinzani vs Mbadala kukuza uchumi

    GTs, Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija? Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na Corona utadhani yeye mwenyewe hajioni kuwa ni mfaidika wa njia sahihi na bora ya kukabiliana na korona...
  20. T

    Serikali ifanye nini ili uchumi wetu uipiku Kenya na mataifa yenye uchumi mkubwa kuliko sisi?

    Kama inavyojulikana ni kwamba Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kiuchumi kutokana na mahali ilipo. Hata hivyo mimi nilitarajia baada ya kuachana na siasa za kijamaa huenda tungeanza kuyapiku kiuchumi mataifa mengi yanayotuzunguka na hata yaliyo mbali. Ndipo najiuliza kama taifa tufanye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…