uchawi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijui nimepatwa na hali gani, kila mwezi nilikuwa nahesabu mzigo ila imepitai miezi 7 sijahesabu, nikitaka kuhesabu naahirisha au kupatwa na uchovu ?

    Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa. hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bondia Anthony Joshua apata ajali Nigeria, wawili wafariki dunia

    Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria. Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama. Joshua...
  3. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya wanawake wanatumia dawa ili wapate madanga

    Habari zenu ndugu zanguni, Sasa wakuu wale walio ishi Musoma mjini mkoa wa Mara, Kuna night club ILIKUA inaitwa metro, sa nimeingia na mwanangu, mmoja wakuitwa bivunguye, tukawa tumekaa mahala nikashangaa, mademu wanafata mzee mmoja anawapa maelekezo wanasepa mara wanarudi tena, Sasa kwa SABABU...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

    Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto. Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wale wanaoamini uchawi, nawaombeni mje mthibitishe

    Habari zenu Wana-jamiiforum? Moja kwa moja kwenye mada, kuna minong'ono mbalimbali kuwa kuna nguvu fulani fulani zinazoweza kubadilisha hali ya kitu, kuleta maafa, kuleta bahati, au kuamua muafaka wa maisha ya wanadamu. Binafsi mpaka nafikia huu sijawahi kushuhudia nguvu hizo. Sasa naomba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni kweli uchawi upo ? Weka tukio hata moja lililowahi kukuta wewe, sio kusikia kwa wengine au vijiweni

    Siamini uchawi, Hakuna uchawi
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

    Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama. Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI) Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI. AU NJOO TU...
  8. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

    Wadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Video: Tangazo la uchaguzi kama uchawi, Oktoba tunatoka hakuna mganga zaidi ya wananchi

    Amkeni watanzania Bongo Movie ya CCM imetoka Rami ebu watuache kidogo hahahahahahahahahaah
  10. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Je, wajua uchawi ni kosa kisheria?

    UCHAWI ni matumizi ya nguvu zisizo za kawaida zinazotumika kuwadhuru wengine kwa namna isiyo ya kawaida. Uchawi unajumuisha mazingaombwe, kuloga, matumizi ya vifaa vya uchawi, matendo ya nguvu za giza au umiliki wa maarifa ya siri yasiyo ya kawaida. Uchawi sio dhana mpya katika jamii zetu bali...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ungependa kujua namna ya kujikinga au kutambua kama kuna uchawi dhidi yako?

    Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe. Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo. b) Ushawishi wa...
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Uchawi unapataje nguvu ya kufanya uharibifu?

    Kulingana na mitazamo ya kiutamaduni, kidini, na kiroho (na si kisayansi), uchawi huaminika kupata nguvu kwa njia mbalimbali kama ifuatavyo: 1. Imani na Nia (Intention & Belief) Watu wengi huamini kwamba uchawi hufanya kazi kwa sababu ya nguvu ya nia ya mtu (intention) na imani thabiti. Akili...
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika uchawi najinsi inavyo athiri maisha yako

    🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa na kama umepigwa kombora dalili moja wapo nikuota ndoto zakutisha usiku...
  14. hamis77

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa...
  15. Sniper

    JamiiForums Tanzania Vifungo vya Kichawi Baada ya Talaka

    Ndoa ni taasisi yenye nguvu kubwa kijamii na kiroho. Lakini pale panapojitokeza kutokuelewana, mara nyingi matokeo yake huwa ni migawanyiko na hatimaye talaka. Katika mazingira mengi, talaka haimalizii tatizo pekee, bali huibua hali mpya ya maumivu, visasi na mara nyingine mashambulizi ya...
  16. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Huu sio uchawi jamani, ni hali ya kawaida kabisa radi kupiga kukiwa kukavu kabisa, hamna mvua wala mawingu.

    Radi inaweza kupiga hata kama hakuna mvua inayoonekana mahali ulipo, na hali hii huitwa "dry lightning" (radi kavu). Hii hutokea kwa sababu: 1. Radi hutokea mbali na mvua: Radi inaweza kusafiri hadi kilomita 10–15 kutoka kwenye mawingu yanayotoa mvua. Unaweza kuwa kwenye eneo kavu, lakini...
  17. excel

    JamiiForums Tanzania Ajali kazini: Shetani mwekundu amezidiwa nguvu na kudondoka

    Chombo cha mkuu wa anga Kamanda ni shabiki kindakindaki wa mashetani wekundu "Manchester United" toka mwaka 1940😅😅😅 Kwa ambao hamuujui "UNGO" hebu tazameni hapa Hili dege wanaweza kupanda hadi watu 50😅😅😅
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Uchawi upo, asikuambie mtu

    Walisema Serikali haiamini katika uchawi. Ila uchawi upo na asikuambie mtu aisee nimeona mwenyewe.
  19. Lattafa

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Kisasa : Je, Ushauri wa Kupata Mpenzi Unafanya Kazi?

    Nilitumia mbinu ya uchawi wa kisasa(Hyposis) kutoka kwenye YouTube kwa wiki moja. Nimekuwa nikikuta video mbalimbali za wanaume na wanawake wakitoa " Ushauri wa Uchawi ". Mfano, mbinu za kuongea, Kutoa Mapendekezo ambao ni ngumu kukataliwa. Mazoezi ya kujenga ujasiri, Hata " miiko" midogo ya...
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mabasi Dar-Mbeya-Tunduma bila uchawi hutoboi

    Hii Njia usipojidhatiti lazima uangukie pua kama wafuatao, 1. Ndenjela 2. Ilasi 3. Sauli 4. Matema 5. Rungwe 6. Scandinavia 7. Hood, 8. Majinjah.
Back
Top Bottom