uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vyama 11 vya upinzani visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania, vimetangaza kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Hivi ndio vile UMD, NRA, CCK, SAU ,TADEA, PONA, DP na vingine. Hivi ndio mikoa ya ccm, wao ndio huibeba ccm kila CHADEMA inapokataa kushiriki. Nakumbuka waliitwa diamond jubilee baada ya uchaguzi wa 2015 kukubali matokeo baada ya CHADEMA kuyagomea. Imetokea tena, leo wanatoa tamko la pamoja...
  3. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
  4. JamiiForums Tanzania Wapinzani watakaoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Baada ya juzi kuandika uzi wenye kichwa cha habari hapo juu, naona Chadema kwa mara ya kwanza wamefanya uamuzi sahihi sana wa kutoshiriki kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, pongezi sana kwao sasa ni zamu ya vyama vingine kutoubaliki uchaguzi huu haramu, Zitto Kabwe na Act Wazalendo...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  6. JamiiForums Tanzania Butiama: Mashamba ya wasimamizi ya Uchaguzi yaharibiwa

    Habari kutoka jimbo la Butiama mkoani Mara zinaeleza kuwa uharibifu umetokea kwenye mashamba ya watendaji wanaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile kinachoelezwa ni baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kukatwa majina yao
  7. JamiiForums Tanzania Wakili Cleophas Mjema: Uchunguzi wangu umeonyesha kuwa mchakato wa kuharibu uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa na hatua zifuatazo

    Anaandika Wakili Cleophas Mjema, __________________________________ Uchunguzi wangu umeonyesha kuwa mchakato wa kuharibu uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa na hatua zifuatazo: 1. Maafisa wasaidizi wa kata waliagizwa na wakuu wa mikoa na wilaya, kuwashawishi wenyeviti wa vijiji, vitongoji na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya unga wa Sembe yapanda, Serikali iingilie kati

    Natoa tu angalizo kwa katibu wa idara ya uchumi ya chama changu CCM, huku mtaani bei ya Unga wa Ugali ( Sembe na Dona) ni kati ya sh 1500 hadi 1700 kwa kilo. Ikumbukwe kuwa mahindi yamevunwa juzikati tu sasa ikifika February 2020 sijui hali itakuwaje? Serikali itoe ruzuku kwa wakulima wa...
  10. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

    Kila kona unayotembelea ndani ya nchi hii, hakuna habari nyingine unayokutana nayo, bali ni malalamiko ya vyama vya upinzani, kufanyiwa hila katika zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuenguliwa wagombea wake kugombea katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24...
  11. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vitakavyoshiriki huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Chama chochote cha upinzani kitakachoshiriki huu uhuni unaoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania. Kwanini nasema hivyo, matukio yote yaliyoripotiwa nchi nzima yameonyesha ukiukaji mkubwa wa sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za uchaguzi ambazo hazijawahi tokea toka...
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa ufutwe

    Hakuna kuendelea na taratibu za Uchaguzi ambao umejaa hujuma na maigizo ya kisanii.Tuziombe taasisi zote za haki za binadamu,asasi za kiraria na vyama vya siasa waungane kushinikiza serikali kuondoa tarehe iliyopangwa Uchaguzi kufanyika na kupanga upya zoezi lianze upya. Hatuwezi kuingia kwenye...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Form za uchaguzi zifanywe kidigitali

    Dunia ya sasa inakimbia sambamba na mfumo wa kidigitali katika mambo mengi. Tumejifunza mengi sana katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Tumeshuhudia watu kunyimwa form za uchaguzi, wasimamizi kukataa kwa kujificha kupokea form za wapinzani. Kwa sababu ulimwengu wa sana ni wa kidigitali...
  14. JamiiForums Tanzania Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 ni kubariki hujuma ziendelee

    Ujumbe huu uwafikie viongozi wa vyama vyote vya upinzani hapa nchini na wana harakati ambao kimsingi wamekuwa mstari wa mbele kutetea suala zima la democracy hapa nchini. Kama uwezekano wa kupambana nao haupo, ni vema tukawaunga mkono kama uchaguzi wa serikali za mitaa umeambatana na matukio...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali itoe maelekezo ya fedha za uchaguzi zilizobaki kwenye Halmashauri, naona huku vimeanza

    Kwanza nawashukuru wananchi na wasimamizi kwa namna moja au nyingine walioshiriki kuokoa fedha hizi. Nitakuwa mchoyo wa fadhira nisiposema asante Halmashauri zilipokea fedha nyingi kwa ajiri ya uendeshaji wa uchaguzi, karibu halmashauri zote zimetumia nusu tu ya fedha zilizopelekwa, kwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe nguvu ya Mhe. Lowasa ni kubwa na ndio ilikibeba CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015

    Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua. Katika harakati za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vijana wa Mhe. Lowasa wanatamba kuwa wale wapigakura Mil. 6 wote walipelekwa na Mhe. Lowasa Chadema. Na siku aliporudi CCM alirudi nao woteee hata Rostam alidiriki kusema Magufuli aachwe achape kazi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njama zilizopangwa na upinzani kuichafua Serikali

    Wapinzani wa nchii hii walipofikia sio sehemu nzuri maana wanataka kuipeleka nchi kwenye machafuko kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Kama ulikuwa haufahamu ngoja nikufaamishe mipango na mikakati yao;- 1. Walianza kulalamika kuwa wasimamizi wa uchaguzi wanawahujumu ilihali wao hawakwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Sitapiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa kwasababu ya majibu mepesi ya viongozi wenye dhamana juu ya hujuma kwa wapinzani

    Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali Serikali. Sasa kama Serikali ndio yenye...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mambo yanayoendelea katika uchaguzi wa serikali za mitaa

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Wakati tukielekea mwisho wa ratiba ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, ambao unatarajiwa kuwa leo jioni saa 10.00, Chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…