Form za uchaguzi zifanywe kidigitali

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,143
1,291
Dunia ya sasa inakimbia sambamba na mfumo wa kidigitali katika mambo mengi.

Tumejifunza mengi sana katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Tumeshuhudia watu kunyimwa form za uchaguzi, wasimamizi kukataa kwa kujificha kupokea form za wapinzani. Kwa sababu ulimwengu wa sana ni wa kidigitali, kwa nini isiwepo njia nyingine ya kidigitali ya kuomba na kuwasilishwa form kwa mfumo wa kidigitali? Muombaji wa mfumo wa kidigitali anajaza form yake online na kuiwakilisha halafu anakuwa na kopi na nyingine kuwakilishwa Polisi na Ofisi ya Utawala ya Mkoa.
 
Back
Top Bottom