Uchaguzi 2019 Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 ni kubariki hujuma ziendelee

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
1,118
Points
2,000

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
1,118 2,000
Ujumbe huu uwafikie viongozi wa vyama vyote vya upinzani hapa nchini na wana harakati ambao kimsingi wamekuwa mstari wa mbele kutetea suala zima la democracy hapa nchini.

Kama uwezekano wa kupambana nao haupo, ni vema tukawaunga mkono

kama uchaguzi wa serikali za mitaa umeambatana na matukio ya kuhujumiana wazi wazi itakuwaje kwenye Uchaguzi Mkuu?

Kuna umuhimu kutafakari Kwa kina na kuunga juhudi ili mnyukano ukaanzie kwenye chama tawala chenyewe.

Kwa hali ilivyo, Tz hakutakuwa na uchaguzi kwa kipindi chote cha serikali ya awamu ya tano. Kinachofanyika ni kutimiza wajibu tu ilhali viongozi wote wakiteuliwa na chama kimoja. Hapa namaanisha ukishateuliwa na hicho chama wewe tayari ni kiongozi tu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
4,909
Points
2,000

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
4,909 2,000

Swali fikirishi kama CCM ni chama pendwa kwanini hawataki uchaguzi huru na wa haki
 
GAGL

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
250
Points
250

GAGL

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
250 250
Ujumbe huu uwafikie viongozi wa vyama vyote vya upinzani hapa nchini na wana harakati ambao kimsingi wamekuwa mstari wa mbele kutetea suala zima la democracy hapa nchini.

Kama uwezekano wa kupambana nao haupo, ni vema tukawaunga mkono

kama uchaguzi wa serikali za mitaa umeambatana na matukio ya kuhujumiana wazi wazi itakuwaje kwenye Uchaguzi Mkuu?

Kuna umuhimu kutafakari Kwa kina na kuunga juhudi ili mnyukano ukaanzie kwenye chama tawala chenyewe.

Kwa hali ilivyo, Tz hakutakuwa na uchaguzi kwa kipindi chote cha serikali ya awamu ya tano. Kinachofanyika ni kutimiza wajibu tu ilhali viongozi wote wakiteuliwa na chama kimoja. Hapa namaanisha ukishateuliwa na hicho chama wewe tayari ni kiongozi tu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA
Bila wao kushiriki wewe ungayajuaje haya? Kifupi hii ni kete kwa upinzani sio ccm. Wapinzani walijua figisu zitakuwepo, tena za wazi wazi, ccm nao wameingia kichwa kichwa, hii imeongeza chuki dhidi ya ccm kwa kuonesha kuwa haiwajali wananchi wala kuheshimu maamuzi yao. Hivyo umma wote umeelewa kuwa kushinda kwa ccm ni batili hakuna uhalali wowote.
 
Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2012
Messages
3,460
Points
2,000

Kaisari

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2012
3,460 2,000
Bila wao kushiriki wewe ungayajuaje haya? Kifupi hii ni kete kwa upinzani sio ccm. Wapinzani walijua figisu zitakuwepo, tena za wazi wazi, ccm nao wameingia kichwa kichwa, hii imeongeza chuki dhidi ya ccm kwa kuonesha kuwa haiwajali wananchi wala kuheshimu maamuzi yao. Hivyo umma wote umeelewa kuwa kushinda kwa ccm ni batili hakuna uhalali wowote.
Nina hakika ninaweza kuishi bila mwenyekiti serekali ya mtaa. Sitahitaji chochote toka kwake. Akae tuu huko huko
 
Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
4,780
Points
2,000

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
4,780 2,000
Lengo la hizi figisu ni kufanya uchaguzi usifanyike maeneo mengi nchini ili kuficha aibu ya watakaojitokeza kupiga kura kuwa wachache, kwani ni dhahiri ile idadi ya waliojiandikisha kuwa milioni 19.5 itathibitika ilikuwa ni utapeli. That's it.
 
Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
1,118
Points
2,000

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
1,118 2,000
Lengo la hizi figisu ni kufanya uchaguzi usifanyike maeneo mengi nchini ili kuficha aibu ya watakaojitokeza kupiga kura kuwa wachache, kwani ni dhahiri ile idadi ya waliojiandikisha kuwa milioni 19.5 itathibitika ilikuwa ni utapeli. That's it.
Hakuna uchaguzi. Naona sasa hizi ni teuzi tu maana walioteuliwa na ccm ndo viongozi wetu wa vitongoji na mitaa
 
Forum statistics

Threads 1,382,584
Members 526,405
Posts 33,831,897
Top