Butiama: Mashamba ya wasimamizi ya Uchaguzi yaharibiwa

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,362
7,684
Habari kutoka jimbo la Butiama mkoani Mara zinaeleza kuwa uharibifu umetokea kwenye mashamba ya watendaji wanaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile kinachoelezwa ni baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kukatwa majina yao View attachment 1256289
IMG-20191107-WA0003.jpeg
IMG-20191107-WA0006.jpeg
 
Wanaowaaminisha wananchi kwamba wanahaki ya kuwachagua viongozi wanaowataka huku wakinyimwa kwenda hata hiyo nafasi ya kwenda kuwachagua wanagharama za kubeba huko tunakoenda.

Ni upuzi kuamini wapinzani wengi hawajui kujaza fomu na chama kimoja tu nchi nzima ndo kiwe na weledi.

Hiyo ni chuki mnawajengea wananchi
 
Waliohusika wote wakamatwe wavune walichopanda. Tabia hii ikifumbiwa macho italeta madhara makubwa
Kuna tabia ambayo inaleta taharuki kama hiyo, hiyo ndo mbaya zaidi kwa sababu ndo mzizi. Ukianza kukata matawi ya mti haukufanyi ule mti kutoa matawi mengine. ng'oa mizizi kabisa utakuwa umetibu tatizo
 
Back
Top Bottom