IGP Sirro: Hatutaki kutumia mabomu ya machozi kwenye uchaguzi mkuu. Watu waache uhalifu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,480
9,241
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka baadhi ya wananchi ambao ni washtakiwa au wafungwa wanaopata msamaha wa Rais kutoka gerezani, kuacha kujiingiza katika matukio ya uhalifu jambo ambalo nikinyume na sheria za nchi.

“Tunataka uchaguzi wa mwaka huu uwe ‘credible’ tunataka uchaguzi ambao ni wa haki kama Rais alivyosema, hatutaki ifikie mahala tuanze kutumia mabomu ya machozi,” – IGP Simon Sirro

IGP Sirro amesema hayo akiwa kwenye ziara ya ukaguzi mkoani Singida ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo na kuwataka kuendelea kushirikiana na wananchi katika mapambano dhidi ya uhalifu ikiwa pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuacha kujiingiza kwenye matukio ya uhalifu hususan wa kutumia silaha za moto.

Aidha, IGP Sirro amesema kuwa, wenyeviti wa kamati za Ulinzi na usalama za wilaya na mikoa kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi na kwamba hadi kufikia sasa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari.

Naye kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Sweetbert Njewike amesema kuwa, hali ya usalama katika mkoa huo inaendelea kuwa shwari na kwamba matukio ya uhalifu yamepungua kutokana na ushirikiano mkubwa unaotolewa na wananchi pamoja na wadau wengine.
 
Nadhani hamjamuelewa Sirro. Alichokimaanisha ni kwamba anatamani Polisi wake wawe kama wale wa Marekani (acha wale wauaji wachache)
 
Akisema hivyo naogopa zaidi, hapo itakuwa ni maandalizi ya kutumia
 
Polisi wenzake wa huko US wameshajuwa kuwa wanawakosea sana RAIA ambao baada ya muda mchache wanaacha kazi hizo na kwenda kuishi nao. Hivyo wamepiga magoti hadharani kama ishara ya kuwaomba radhi kwa waliyo kuwa wakitenda ikiwamo mauaji.
Polisi Tanzania walikuwa wakipendwa sana na RAIA, lakini baada ya wao Ku take sides katika siasa na kutumika vibaya wamekuwa adui wakubwa na ndio maana hata wakipata janga wanaombewa baya zaidi.
Sirro tumia muda mchache ulio nao kwenye utumishi wako ubadili mambo uache jina lako kwenye chati ya heshima
IMG_20200601_073023.jpg
IMG_20200601_072944.jpg
IMG_20200601_072949.jpg
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka baadhi ya wananchi ambao ni washtakiwa au wafungwa wanaopata msamaha wa Rais kutoka gerezani, kuacha kujiingiza katika matukio ya uhalifu jambo ambalo nikinyume na sheria za nchi.

“Tunataka uchaguzi wa mwaka huu uwe ‘credible’ tunataka uchaguzi ambao ni wa haki kama Rais alivyosema, hatutaki ifikie mahala tuanze kutumia mabomu ya machozi,” – IGP Simon Sirro

IGP Sirro amesema hayo akiwa kwenye ziara ya ukaguzi mkoani Singida ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo na kuwataka kuendelea kushirikiana na wananchi katika mapambano dhidi ya uhalifu ikiwa pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuacha kujiingiza kwenye matukio ya uhalifu hususan wa kutumia silaha za moto.

Aidha, IGP Sirro amesema kuwa, wenyeviti wa kamati za Ulinzi na usalama za wilaya na mikoa kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi na kwamba hadi kufikia sasa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari.

Naye kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Sweetbert Njewike amesema kuwa, hali ya usalama katika mkoa huo inaendelea kuwa shwari na kwamba matukio ya uhalifu yamepungua kutokana na ushirikiano mkubwa unaotolewa na wananchi pamoja na wadau wengine.
Sisi Wazaramo tunasema zilongwa mbali zitendwa mbali!
 
Another failed IGP like yule aliyezaa na house girl cjui alikuwa anaitwa nani. Hayo mabomu watapiga wanayo ya kutosha nchi nzima?...pamoja na kwamba wao ni vibaraka wa kupokea amri kutoka juu lakini wangejifunza kutoka kwa wenzao wa mataifa ya mbali (Ulaya) wakitumwa kufanya upuuzi watumie ile dhana ya akili za kuambiwa.....
 
Kamanda sirro ameshaanza kufanya campaign mapema hakika hili jeshi la polisi lipo kwaajili ya kuivusha CCM tu
Ungemuelewa ungeelewa.Anatamani Sana kufanya polisi service but mazingira yanambana, watendaji awamu hii Wana mtihani Sana ni chaguzi mbili tu either uchague haki au ugali na vyote vina equal results.
 
Another failed IGP like yule aliyezaa na house girl cjui alikuwa aniatwa nani. Hayo mambomu watapiga wanayo ya kutosha nchi nzima...pamoja wa wao ni baraka wa kupokea amri kutoka juu lakini wangejifunza kutoka kwa wenzao wa nje ukitumwa kufanya upuuzi watumie ile shana ya akili za kuambiwa.....
Jamaa ni smart sema mazingira yanabana.. Sababu ya mifumo mibovu aliyoasisi Nyerere hakutaka kulifanya jeshi la polisi liwe huru Kama yalivo kwa wenzetu awapokei amri toka juu
 
Polisi wenzake wa huko US wameshajuwa kuwa wanawakosea sana RAIA ambao baada ya muda mchache wanaacha kazi hizo na kwenda kuishi nao. Hivyo wamepiga magoti hadharani kama ishara ya kuwaomba radhi kwa waliyo kuwa wakitenda ikiwamo mauaji.
Polisi Tanzania walikuwa wakipendwa sana na RAIA, lakini baada ya wao Ku take sides katika siasa na kutumika vibaya wamekuwa adui wakubwa na ndio maana hata wakipata janga wanaombewa baya zaidi.
Sirro tumia muda mchache ulio nao kwenye utumishi wako ubadili mambo uache jina lako kwenye chati ya heshimaView attachment 1465247View attachment 1465248View attachment 1465249
Polisi wa Africa weao huwa ni kufuata amri kutoka juu hivyo sio makosa yao..ila zamu hii wasipojioengeza kwa kutumia dhana ya akili za kuambiwa..changanya na zako...wengi wao wataumia vibaya ..manake wananchi wana machungu mengi...
 
Kazi ya polisi Africa ni kulinda maslai ya mtawala kazi ya jeshi ni kulinda maslai ya wananchi,uoga wa wananchi jeshi ukosa jinsi ya kuanza,ni lzm kwanza wananchi waamue kuupinga uovu Case study Sudan, Zimbabwe,misri, Tunisia.
Uoga wa wananchi silaha kwa watawala Africa.
 
Nadhani hamjamuelewa Sirro. Alichokimaanisha ni kwamba anatamani Polisi wake wawe kama wale wa Marekani (acha wale wauaji wachache)
Furaha ya polisi Africa ni kuumiza watu,hata wakiwa bwalo upongezana aah leo tumewavunja vunja Sana poti
 
Tuwahurumie Polisi wa TZ

Wana siasa wanawafanya wasiheshimike.
Hadhi yao imeshuka mno kwa kuitetea CCM
Labda sasa wameamua kujisawazisha
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom