uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, utabiri wa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM kuanza kutokea katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM. Kutokana na kujitokeza kwa mwanasiasa, Bernard Membe kudai kuwa amepania kuchukua fomu ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo kura za marudio ya uchaguzi wa Rais zilivyolindwa na wananchi nchini Malawi. Hakika kuna la kuifunza Tanzania

    Hakuna ujanja wa kutumia wakurugenzi , watu wasiojulikana wala polisi . Mungu ibariki Malawi
  3. JamiiForums Tanzania Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo ------ Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020. Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Malawi: MCP ikionekana kuongoza katika kura za awali katika uchaguzi wa marudio, chama tawala chalalamika kufanyiwa "rough" kutishia kukataa matokeo

    Hiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa. Majeshi yao, polisi wao, fedha zote zao, bado wanalalamika!
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Pendekezo la Kauli-Mbiu ya Upinzani katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, ninawashauri wapinzani kutumia Kauli-Mbiu moja hata kama kila chama kinashindana kivya-vyake. Ni kwa njia hii upinzania utaweza kuichinjia CCM baharini ki-mkakati. Ninawashauri kuchagua Kauli-Mbiu inayoelekea kufanana na hii: Ondoa Balaa [la udikiteita], [Ruhusu]...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

    The Magufuli regime in #Tanzania “knows they cannot win on an equal political playing field ... They use any means necessary, including violence, to try to silence the opposition. This is a clear sign of weakness, not strength." Fears that President Magufuli will create a dictatorship in...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

    Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli ni kwamba Uchaguzi 2020 ni wa upande mmoja, hakuna ushindani, tunakwenda kutimiza matakwa ya Katiba tu

    Kwa kifupi kabisa ni kwamba tunakwenda kwenye Uchaguzi ambao mshindi tayari anajulikana. Ninasema haya kwasababu zifuatazo. 1. Kukubalika kwa Rais Magufuli kwa watanzania walio wengi (hili liko wazi na halina ubishi) Watanzania wanampenda sana huyu mtu na hawapo tayari aondoke Ikulu mapema. 2...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe -CHADEMA na Zitto-ACT- mnakwenda kwenye uchaguzi kupata nini?

    Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CHADEMA. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi? Kama wamediriki kulifuta...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kama picha za kampeni za Lissu sokoni Kariakoo ni za kweli, hii inaweza kuwa ni hujuma ili CHADEMA ionekane inavunja sheria za uchaguzi

    Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni. Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Mtia nia Jecha na Hoja ya Mwigulu Nchemba juu ya Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili za lolote kutokea katika Uchaguzi wa Mwaka huu

    Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana. Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma...
  15. JamiiForums Tanzania RPC Shana umekoswakoswa ya dhahabu Mwanza na umekoswa mgogoro wa Arusha; hii ya kujipendekeza CCM kupitiliza itakuletea shida. Linda maadili

    Jf Imara Rais JPM amesema alikua anawatizama tu na aliwapa muda wa kuyamaliza wakashindwa. Akamuagiza Waziri Jafo awasuluhishe bado ikashindikana. Mwisho akaamua kutimua wote. Hapa JPM ametumia busara sana. Happy Wa Joseph (BIBI) anasema ukiona watoto wanagombania chakula wakati kinawatosha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vitisho kuelekea uchaguzi huu ni mkakati kama ile ya kurubuni Wapinzani wajitoe ili wapite bila kupingwa na vitisho lengo msishiriki wapite kiulaini

    Ni kweli hatuna Tume Huru na bila shaka ni kweli kuna hujuma zinapangwa (naona hata Lema kagusia hili la hujuma kupitia Twitter) ila pamoja na yote haya, plan waliyonayo na wasioweka wazi ni kutumia vitisho ili wapinzani wakate tamaa ya kushiriki kabisa huu uchaguzi. Faida ya Wapinzani...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Kada wa CCM kumtangaza "Mshindi" mgombea wa CHADEMA?

    Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA? Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana? Maendeleo hayana vyama!
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020 CCM tayari wako ngazi moja juu ya wapinzani wao.

  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Malengo ya vyama uchaguzi mkuu 2020

    Kila chama kina malengo yake kwenye uchaguzi huu. 1. ACT Wazalendo Lengo lao kubwa ni kugawana majimbo na CCM Zanzibar. Hili asilimia za kufanikiwa ni asilimia 60% PLUS. Siasa za Zanzibar zilikuwa Ni za CCM VS CUF lakini CUF hii iwe chini ya Maalim Seif. Kwa hiyo Mambo yanavyooneka Ni kuwa CUF...
  20. JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu. “Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…