johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,957
- 141,946
Kilichonishangaza leo katika mjadala wa Star tv Tuongee asubuhi, mada ikiwa " Muungano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi " ni kwamba wageni wote wawili waliotambulishwa kama wanasheria wameshindwa kutupa tofauti kati ya Muungano na Ushirikiano.
Wamesisitiza kuwa penye ushirikiano lazima pana Muungano.
Nikusihi tu ndugu yangu mtozi tusichanganye siasa na maswala nyeti ya taaluma, sheria za uchaguzi zinapaswa kutafsiriwa kwa usahihi na ni vema mngewaalika Wanasheria wa NEC.
Maendeleo hayana vyama!