Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?

Status
Not open for further replies.

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?

Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Anahangaika tu. Anashika hiki anashika kile.

Maji yamezidi unga.😂😂😂
 
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?

Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Umezitoa wapi hizo taarifa kama huo siyo umbeya tu. Ikifika asubuhi ndipo utagundua kuwa ulikuwa unaota tu.
 
1601173125504.png
 
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?

Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?

Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama ya Rufani hilo linawahusu.

Kuna Chombo cha HAKI kiliwaondoa WAKURUGENZI wa HALMASHAURI kwenye Usimamizi wa Uchaguzi ili KUONDOA "conflict of interest"

Sasa Mgombea anafanya mazungumzo ya Siri na Wasimamizi wa Uchaguzi.

Jamani!!!!

Wagombea WENGINE watapata HAKI YAO?

MSINGI WA AMANI UNALINDWA KWA UTARATIBU HUO?

TUME YA UCHAGUZI NA MAHAKAMA AMANI YA TANZANIA IPO MIKONONI MWENU.
 
Aliyeleta uzi hana uhakika na taarifa yake wewe unakuja kutoa mapovu bila hata kujiridhisha usahihi wa uzi.
 
Umuambie mgombea zile ndege na flyovers hazipigi kura! Sasa ona anavyo taabika! Anawatumia viongozi wa dini, hola! Amebeba wasanii 100 kwenye kampeni zake, hola!!

Sasa anaona njia pekee ya kumuondolea aibu ni kupanga mkakati wa kuiba kura na makada wake alio wateua!! Watu wanataka maisha bora. Siyo vijembe na vioja.
 
Mwambie mgombea wenu kuwa watu hawadanganyiki na ahadi zake, mwambie bado tunaimani kubwa na Magufuli pamoja na cha cha mapinduzi na tar 28 tuthibitisha hilo.
 
Baada ya uchaguzi tu, Wapinzani by then (CCM au CHADEMA😊) wahakikishe hii kitu ya kumtumia DED kama staff wa NEC inakoma kabisa na kufutiliwa mbali.

Nchi tajiri hii na mipesa yetu yote tumeshindwa kabisa kuachana na huu upuuzi? Wapinzani wa sasa wamekwama wapi katika kulipinga hili kabla ya uchaguzi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom