uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. R

    GE2020 Moja ya mambo mazuri aliyofanya Rais Magufuli kuhusu kodi

    Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, kodi ya majengo (property tax) iliyokuwa inatozwa kila mwaka na serikali za mitaa (LGA) kwa kila nyumba/jengo ilitegemea thamani ya nyumba. Kodi hiyo ilitozwa kwa asilimia 0.1. Hivyo watu wote wenye nyumba/majengo mijini katika maeneo...
  2. ryan riz

    GE2020 Uchaguzi huu watu wengi hawawajui wagombea wao wa Udiwani na Ubunge. Je, sababu ni nini?

    Kichwa cha habari chajieleza, uchaguzi mkuu wa mwaka huu kiukweli nje ya wasanii kujaza watu au watu kuja kushangaa mtu aliyepigwa risasi nyingi kwenye kampeni,ni uchaguzi ambao kampeni zake hazivutii wala kusisimua kabisa. Hii imepelekea viongozi wa nafasi za Urais wa hivi vyama viwili...
  3. Mtu wa Pwani

    ZEC yawaengua wagombea wengi wa ACT-Wazalendo. Je ACT-Wazalendo itashiriki Uchaguzi?

    Naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:- Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa...
  4. Ngongo

    Baada ya Uchaguzi Dkt. Bashiru ataendelea na nafasi ya Katibu Mkuu?

    Heshima sana wanajamvi, Katibu Mkuu wa chama chochote ukiondoa vile vyama vya msimo wa uchaguzi ndiye mtendaji mkuu wa shughuli na utendaji wa chama za kila siku.Chama tawala CCM kimewabadili makatibu wakuu kwasababu mbali mbali lakini nyingi kati ya hizo sababu ni kushindwa kwenda na wakati au...
  5. T

    GE2020 Sheria ya Gharama za Uchaguzi inasemaje? Nimepata mashaka baada ya CCM kufika Kigoma

    Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi: *Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki yangu ambaye gari zake zote zilikodiwa kwa kazi hiyo! * Wananchi wote waliopakiwa kwenye magari hayo...
  6. V

    CHADEMA, Corona imekwisha?

    Na Victor Yohana (uvccmichenjezya@gmail.com) Mapema mwaka huu tulitangaziwa kuwa Dunia imeingiwa na ugonjwa wa CORONA. Tanzania ilikuwa nchi moja wapo ambayo ilishukiwa kuwa kuna watu wana dalili za virusi vya CORONA alimaarufu COVID -19. Wakati Dunia ikiendelea kutafuta tiba, Tanzania ilikuwa...
  7. Q

    Je, ni kweli Jumuiya za Kimataifa zinaingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania?

    Kumekuwa na mijadala kutoka kwa watu mbalimbali hata humu JF kuwa mataifa ya nje na Jumuiya za nje zinaingilia Uchaguzi wetu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa kuna baadhi ya wagombea wametumwa na ‘mabeberu’ kwa makubaliano fulani. Kama kweli, Je, Jumuiya za kimataifa kama UN, EU, na...
  8. Cannabis

    GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
  9. Nguruka

    GE2020 CHADEMA vipi, jiwe la Tume ya Uchaguzi liliwapata gizani

    MAPEMA Juma hili tumesikia baadhi ya vyama vya siasa nchini vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 vikitoa maneno makali dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kile ambacho wao wanasema kuwa Tume imekosa meno dhidi ya wanaokiuka Maaduili ya Uchaguzi. Mgombea Urais kupitia Chama cha...
  10. Matojo Cosatta

    GE2020 Umuhimu wa Mawakala wa Wagombea Urais, Ubunge na Udiwani kupatiwa nakala za matokeo ya uchaguzi katika vituo vya kupiga kura

    KILA WAKALA WA MGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ANA HAKI YA KUPATIWA NAKALA YA FOMU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, MBUNGE NA DIWANI. SEHEMU 1: UTANGULIZI. Makala hii inaangazia haki ya kisheria ya wagombea Urais, Ubunge na Diwani kupatiwa Nakala za Fomu za Matokeo...
  11. A

    Ombi kwa Mheshimiwa Rais baada ya Uchaguzi

    Mimi kama Mtanzania mzalendo na mpenda maendeleo, katika kuunga mkono juhudi za maendeleo kwa Taifa. Ningependa kutoa rai kwa Mh Rais pindi atakapochaguliwa kwa mara ya pili kuelekeza nguvu zaidi katika miradi mikubwa anayo itekeleza hasa hasa mradi wa umeme na reli ya kisasa. Kwani endapo...
  12. Matojo Cosatta

    Orodha ya Sheria zinazotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020

    ORODHA YA SHERIA ZINAZOTUMIKA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA 2020. SEHEMU 1: UTANGULI. Kuna msurululu mrefu wa Sheria za ndani (municipal laws) zinazotumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020. Sheria za ndani zinazotumika katika Uchaguzi Mkuu zimegawanyika katika aina kuu nne (4) zifuatazo; (1)...
  13. M

    GE2020 Hongereni timu za kampeni Uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kutupilia mbali siasa za majitaka

    Mpaka sasa sijasikia siasa za majitaka wala kuongelea maisha binafsi ya wagombea. Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 mgombea mmoja aliambiwa eti kaiba mke wa mtu. Uchaguzi wa 2015 mwingine aliambiwa eti ni mgonjwa. Hongereni vyama vyote kwa kufanya kampeni za kisayansi. Tunatumaini hii hali...
  14. Analogia Malenga

    GE2020 Maadili ya Uchaguzi: Ni marufuku kubandika picha ya mgombea juu ya picha ya mgombea mwingine

    Maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2020 inaeleza matukio ya ukiukwaji wa maadili ya Uchaguzi kuwa pamoja na kutoa Lugha ya matusi na kashfa pia kutoa kauli zisizoweza kuthibitika. Pia ni kosa kimaadili kubandika picha ya mgombea juu ya picha ya mgombea mwingine, vurugu dhidi ya wagombea, wafuasi wa...
  15. Tuko

    Tume ya Uchaguzi na suala la Wanafunzi kutolewa madarasani kuhudhuria mikutano ya kampeni

    Baada ya wiki moja ya kampeni tumepokea taarifa mbali mbali za mienendo ya kampeni. Kinachonifanya niandike huu uzi ni kitendo cha NEC kufumbia macho suala la wanafunzi kuamriwa kuacha masomo kwenda kuhudhuria mikutano ya kampeni. Ni kweli kuwa baadhi ya wanafunzi wana umri wa kutosha kupiga...
  16. jogi

    GE2020 Tume ya Uchaguzi ishirikiane na Wapiga Kura kulinda kura

    Ulinzi wa mtu na mali zake ni jukumu linaloanzia kwa mtu mwenyewe baadaye jamii na kisha vyombo vya kiserikali. Jukumu hili ni la msingi kikatiba, na kwa umuhimu wake naona ni vema Tume ya Uchaguzi NEC na ZEC zikawa bega kwa bega na Wananchi katika kuhakikisha wezi wa kura hawapati nafasi ya...
  17. Nyamsusa JB

    GE2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
  18. The Palm Tree

    GE2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

    å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC. å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti. å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe...
  19. Analogia Malenga

    GE2020 Lissu: Tume ikitaka amani, ihakikishe uchaguzi unakuwa wa haki

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi isiwatishe bali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki ili kuwe na amani. Kwanza amewataka wawarudishe wagombea wote wa CHADEMA walioenguliwa katika kinyang’anyiro...
  20. T

    GE2020 ILANI ZA UCHAGUZI: Hizi ndio Ilani za uchaguzi za vyama vyote kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 - 2025

    Watanzania Tusomeni ilani ya vyama vya siasa, tusije kusema hatukuambiwa au hatukona ILANI YA UCHAGUZI CCM https://www.ccm.or.tz/website/ilani/ILANI YA CCM 2020.pdf ILANI YA UCHAGUZI CHADEMA Account Suspended ILANI YA UCHAGUZI ACT - WAZALENDO Tunachokisimamia ILANI YA UCHAGUZI CUF...
Back
Top Bottom