Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Uchaguzi utakaofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye kuzingatia uwazi kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu Mhe. Mbarouk S. Mbarouk alipokuwa akihutubia Mkutano wa Wadau na Asasi...