uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020

    Wasalaam, tangu tumepata Uhuru tumetawaliwa na CCM, matatizo na umasikini tulionao umesababishwa na wakoloni weusi CCM. Hawa CCM wamegeuza hii nchi ya kifalme anatawala babu hadi mjuku, kazi yao kubwa wakoloni hawa kutuimbia watanzania ngonjera; 1. Mhe. Ally Hassan Mwinyi; ruksa 2. Mhe. Mkapa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura 566,000 kushiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar!

    Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye daftari la kudumu Chanzo: ITV habari. Maendeleo hayana vyama!
  3. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania CUF: Tunatarajia Uchaguzi Mkuu utakuwa wa Uhuru na Haki. Yeyote atakayetutikisa tutamwangusha kama papai mtini

    TUNATARAJIA UCHAGUZI MKUU UTAKUWA WA UHURU NA HAKI, YEYOTE ATAKAYETUTIKISA TUTAMWANGUSHA KAMA PAPAI MTINI" KATIBU MKUU CUF HAROUB MOHAMMED SHAMIS Ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu Maalum wa kuwachagua wagombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar uliyofanyika julai...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Naulizia kuhusu zile kazi za muda za Uchaguzi Mkuu October

    Habari za leo wajumbe wa Uchaguzi Mkuu, Mie kijana nipo nasoma chuo kikuu hapa dar es salaam , napenda ulizia eti zile kazi za muda za kusimamia Uchaguzi Mkuu je zinapatikanaje (maana natafuta pa kujishikiza katika likizo hiyo ya mwisho wa mwaka)? Na je wapi kutakuwa na chances either...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu 2020 ni mtanziko wa kuteua kati ya shetani wa kijani na shetani mwekundu: tufanyaje?

    “Watu hatutofautiani sana katika uelewa wetu kuhusu vitu gani vinaitwa matendo mabaya; bali, tunatofautiana sana katika utayari na ujasiri wetu wa kuhimiza na kutekeleza matendo mabaya.” –- G.K.Chesterton (1874-1936) "Ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushirikiano wa vyama vya siasa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    UMUHIMU WA USHIRIKIANO WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2020. Maaskofu katika DR Congo walitoa mchango mkubwa sana katika kuifanya ya DRC kuwa na utulivu kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu. Ushiriki wao katika kuyaunganisha makundi au vyama ndani ya DRC hauwezi kusahaulika...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Midahalo ya wagombea urais kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Mwishoni mwa juma lililopita nilileta mada hapa jukwaani kuhusu Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Bw. Thabo Mbeki, alivyomkumbuka hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Kwenye bandiko hilo, nami nikatoa maneno mawili matatu kumhusu Rais huyo mstaafu Mkapa, kwa jinsi nilivyomjua mimi, kiumbali...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

    Salaam Wakuu, 0911HRS: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabili namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele. Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi...
  9. Bandamwagaz

    JamiiForums Tanzania Simbachawene aitaka Polisi kukaa mguu sawa Uchaguzi Mkuu, aipongeza Rufiji kusambaratisha Wahalifu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote zitakazo jitokeza au uvunjifu wa sheria katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Simbachawene ameongeza kuwa, Polisi muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
  10. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aja na sheria mpya za mitandao kuelekea uchaguzi mkuu, wengi zitawafunga hasa upinzani na wenye mlengo tofauti na Serikali

  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi mambo yalivyo Uchaguzi Mkuu mi binafsi nahamia CCM

    Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako. Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya...
  12. Dam55

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Salaam wakuu, Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020. Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
  13. King JiluX

    JamiiForums Tanzania Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya sababu kwanini CCM hii na serikali yake wanapaswa kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    POLICE WAKAMATA WANACHAMA WA ACT WAZALENDO MASASI Ziara ya mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seifu Sharifu Hamad leo alifika Masasi na kufanya kikao cha ndani mara baada ya kuondoka ukumbini hapo police walivamia na kukamata wanachama na viongozi 14 pamoja na mtoto-ACT Wazalendo on...
  15. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli avitaka Vyombo vya Ulinzi kutotumia nguvu pasipostahili wakati wa Kampeni na Uchaguzi

    Rais Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya ulinzi kutotumia nguvu mahali ambapo hapastahili kutumia nguvu wakati wa kampeni na uchaguzi wa mwaka huu, huku akiamini kuwa kampeni zote zitafanyika kistaarabu kwa amani. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo wakati akizindua Jengo la Tume ya...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC): Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28, 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo ni Oktoba 28, 2020. Aidha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ratiba ya wateuzi wa Wagombea kiti cha Rais, Makamu wa Rais, Ubunge na Udiwani utakuwa ni Agosti 25, na...
  18. BAK

    JamiiForums Tanzania NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano

    Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
  19. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini kura za Uchaguzi Mkuu hazihesabiwi hadharani kama za CCM kuchagua wagombea?

    Napendekeza na kura za uchaguzi mkuu kuanzia Udiwani, ubunge na urais zihesabiwe kwa uwazi mbele ya wapiga kura kama wanavyofanya CCM katika kura za urais na ubunge? Naomba mwaka huu iwe hivyo
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wazee Kilimanjaro wamuandalia Rais Magufuli zawadi maalumu, mangi Mareale amuahidi ushindi wa kishindo Uchaguzi Mkuu

    Viongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao. Chanzo: ITV...
Back
Top Bottom