uchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Acha uchafu kwa kusingizia Uanaume

    Habari zenu, Uchafu ni tabia ya mtu binafsi na sio uanaume kama baadhi ya watu wachafu wanavyosema. Kuna huu uzi Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza? Kwenye huo uzi ⬆️ kuna baadhi ya watu wanasema kabisa "ukiona...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sinza kila nyumba ni kama JALALA. Walioshinda zabuni ya kuondoa taka/uchafu ni kama wameshindwa

    Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka majumbani kwa ukamilifu. Tangu mwezi wa 11 mwishoni 2023 hadi leo kuna maeneo mfano Sinza c uchafu...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mfumo wa uzoaji taka mitaani unaweza kusababisha athari za kiafya kwa Wananchi

    Wakati Mikoa kadhaa ikiripotiwa kuwa na mlipuko wa Kipindupindu na Magonjwa ya Tumbo ikiwemo Mwanza, Shinyanga na Simiyu, upande wa Mitaa mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kukosekana mfumo mzuri wa utunzaji na uzoaji kutoka kwenye makazi ya Watu na sehemu za biashara. Baadhi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aagiza timu ya Wataalamu kuchunguza madai ya maji yenye uchafu Sombetini Arusha

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni Mkazi wa Sombetini kusema kuwa kuna changamoto ya maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hali ambayo ilikuwepo kwa miezi kadhaa nyuma na sasa imejirudia na kuwasababishia Magonjwa ya Tumbo...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi kuu ya mabasi ya Moshi (Kilimanjaro) imejaa ujinga, upuuzi, uchafu na ushamba uliopitiliza

    Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya ajabu, yaani uchafu, ushamba na ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza tena mamlaka za serikali...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Sebuleni kunakaa TV na makochi pekee hivyo vingine vyote ni uchafu

    Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu. Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni. Note: Hiyo...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

    Hello! Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha. Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi. Few...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

    1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi 2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa kunguni ufaransa, ni uchafu ama ni pigo la Mungu?

    Tañgu zama na zama ufaransa na hasa jiji la Paris ndio limekuwa linasifiwa kwa usafi na ustaarabu! Hata ukitembelea majiji mengine usafi kwa wafaransa ni jadi Yao ! Hao kunguni wametoka wapi ? Nini chanzo chake ? Kwa afrika mtu akiwa na kunguni hata mmoja kwenye shati yake ni tukio la aibu na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar uchafu ni utamaduni?

    Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
  13. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Vazi la dela lina vyote ustaarabu na uchafu

    Likivaliwa na mwanamke kwa lengo la kujistili linaongeza ustaarabu. Shida likivaliwa Ili chura arukeruke basi linaonekana ni vazi la kimalaya.
  14. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Barabara ya 4-8 na eneo lote la Ngamiani jijini Tanga kwanini serikali hailitendei haki kwa kuhimiza ujenzi wa nyumba za kisasa na kuondoa uchafu?

    Wakuu, Wagosi wa kaya wamo vibarazani huku jiji lao limetelekezwa kurejeshewa hadhi yake ya zamani. Reli waliboreshewa na hayati JPM mpaka stesheni ilikarabatiwa ikabaki kidogo treni ianze safari kwenda huko lakini mipango ikaenda hali jojo hadi leo. Swali kwa serikali, kwanini jiji hilo...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko ongea yote kuhusu ufisadi wa kutisha uliokuta hapo wizara ya nishati lasivyo utaubeba wewe huo uchafu

    Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki . Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa...
  16. richaabra

    JamiiForums Tanzania TANROADS Mbagala mpo au mmelala, mbona pachafu hivi?

    Juzi nilipita zakiem pale hadi Rangi 3 mida ya saa 6 usiku, aisee nlichokiona ni zaidi ya uchafu hata kama watu wanatafuta rizki sio kwa uchafu ule. Bara bara imejengwa mpya alafu kuna watu wanauza machungwa katikati ya barabara pambezoni, yaani kilichonishangaza ni mtu kafunga biashara alafu...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  18. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa mazingira huleta athari nyingi kwetu

    Mji au mtaa unaweza kuwa mzuri, watu wakavutiwa napo kuishi na kuwekeza, lakini kama eneo ni chafu basi ni chanzo cha mlipuko wa magonjwa na watu kuchukia eneo hilo. Hivyo ni muhimu watu wa afya kulitambuwa hilo, ushuru unalipwa ili huduma ya uondoaji taka ifanyike kwa wakati. Je, kwanini...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

    Aibu kubwa sana, yaani kumbe wanagombea posho na UVCCM? This is a misuse of public funds.
  20. LAETUS

    JamiiForums Tanzania SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Nishati
Back
Top Bottom