Sebuleni kunakaa TV na makochi pekee hivyo vingine vyote ni uchafu

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.

Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.

Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.

1CC7FB07-96AC-40AE-884A-3441159B8626.jpeg
 
Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.

Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.

Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.

View attachment 2844782
Shida kubwa ni kutaka kufananisha maisha ya waliojipata na wanaojitafuta.

Hakuna mtu apendaye kujaza vitu vingi sebuleni au chumbani ila uchumi ndio huamua
 
Uko sahihi kabisa mzee wa Aromaticity na Isomerism, wana hawaelewi resonance ya maisha ya binadamu.
 
Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.

Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.

Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.

View attachment 2844782
Kama huna sebule kama hiyo na unatamani kuwa nayo kuna uwezekano hautokaa uwe nayo kama hiyo.

Mpaka sasa hujui kuwa kuna tofauti ya kipato, mtu aliyepanga chumba na sebule unataka friji na jiko aviweke nyumbani kwenu?

Sasa ushindwe kung'amua jambo jepesi kama hili uje uweze kupambana na changamoto ngumu za mtaani kupata kipato.
 
Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.

Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.

Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.

View attachment 2844782
Hii inaonekana kama second reception room. Inamaanisha kuna family sitting room nyingine kubwa yenye makochi ya kutosha familia na coffee table.
 
Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.

Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.

Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.

View attachment 2844782
Hiyo siyo sebule. Hiyo ni TV room ya family pekee.

Kuweka TV sebuleni ambapo wanakuja na wageni wasio familia ni ujinga.

TV ya family inakuwa na chumba cha peke yake, TV ya master bedroom ni kwa ajili ya mwenye nyumba tu.

Usiweke TV bedroom za watoto wala usiwawekee TV ya kutazama peke yao.

TV nyingine inaweza kuwekwa chumba cha wageni na remote na kuiwasha kwake ni akiwepo mgeni tu kwenye hicho chumba. Watoto hawaruhusiwi kabisa kuingia chumba cha wageni.

Upo hapo ulipo?
 
Back
Top Bottom