uchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar uchafu ni utamaduni?

    Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
  2. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Vazi la dela lina vyote ustaarabu na uchafu

    Likivaliwa na mwanamke kwa lengo la kujistili linaongeza ustaarabu. Shida likivaliwa Ili chura arukeruke basi linaonekana ni vazi la kimalaya.
  3. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Barabara ya 4-8 na eneo lote la Ngamiani jijini Tanga kwanini serikali hailitendei haki kwa kuhimiza ujenzi wa nyumba za kisasa na kuondoa uchafu?

    Wakuu, Wagosi wa kaya wamo vibarazani huku jiji lao limetelekezwa kurejeshewa hadhi yake ya zamani. Reli waliboreshewa na hayati JPM mpaka stesheni ilikarabatiwa ikabaki kidogo treni ianze safari kwenda huko lakini mipango ikaenda hali jojo hadi leo. Swali kwa serikali, kwanini jiji hilo...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko ongea yote kuhusu ufisadi wa kutisha uliokuta hapo wizara ya nishati lasivyo utaubeba wewe huo uchafu

    Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki . Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa...
  5. richaabra

    JamiiForums Tanzania TANROADS Mbagala mpo au mmelala, mbona pachafu hivi?

    Juzi nilipita zakiem pale hadi Rangi 3 mida ya saa 6 usiku, aisee nlichokiona ni zaidi ya uchafu hata kama watu wanatafuta rizki sio kwa uchafu ule. Bara bara imejengwa mpya alafu kuna watu wanauza machungwa katikati ya barabara pambezoni, yaani kilichonishangaza ni mtu kafunga biashara alafu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  7. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa mazingira huleta athari nyingi kwetu

    Mji au mtaa unaweza kuwa mzuri, watu wakavutiwa napo kuishi na kuwekeza, lakini kama eneo ni chafu basi ni chanzo cha mlipuko wa magonjwa na watu kuchukia eneo hilo. Hivyo ni muhimu watu wa afya kulitambuwa hilo, ushuru unalipwa ili huduma ya uondoaji taka ifanyike kwa wakati. Je, kwanini...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

    Aibu kubwa sana, yaani kumbe wanagombea posho na UVCCM? This is a misuse of public funds.
  9. LAETUS

    JamiiForums Tanzania SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Nishati
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa Usafi Kata ya Mbuyuni - Morogoro haonekani, hali ya uchafu ni mbaya mtaani

    Hali ya usafi wa mazingira ilivyo Mkoani Morogoro katika Kata ya Mbuyuni, Mtaa wa Msikiti wa Masai karibu na Muslim University of Morogoro. Mkandarasi wa usafi anaitwa Kajenjere lakini inadaiwa zaidi ya mwezi hajafika eneo husika kukusanya taka, hivyo kusababisha hali kuwa mbaya hadi taka...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mazingira Duniani (Juni 05): Tumeshindwa kabisa kudhibiti uchafu wa taka za plastiki?

    Maadhimisho ya Siku hii hufanyika kila Juni 05, na kwa mwaka 2023 yanaangazia zaidi Uchafu wa Mazingira unaotokana na Taka za Plastiki, na jinsi ya kukabiliana nao Zaidi ya Tani Milioni 400 za Plastiki zinatengenezwa Duniani kila mwaka. Inakadiriwa kuwa, Tani Milioni 19 hadi 23 huishia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini bajeti ya Waziri Mchengerwa haina kelele za rushwa kama wizara ya Makamba?

    Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati. Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha mambo yenu kwa uwazi na kuacha wabunge waichambue bajeti yenu kwa manufaa ya watanzania sio wenzenu wa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio NEMC, uchafu wa Mazingira ni ugonjwa wa akili unaotakiwa utibike Kisaikolojia. Hata baadhi ya Viongozi wanaumwa

    Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia. Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele. Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wote wanaotaka kufanya uchafu siku ya leo

    Sina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama. Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu...
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Beach ya Ununio kunafanyika uchafu mpaka kwa Watoto wadogo

    Tunapoendelea na sakata la mashoga na mambo mengine yanayotia aibu na kinyaa, wazazi mnaoruhusu watoto wenu wa kike na wa kiume kwenda Ununio Beach wanafanya uchafu kul, kuweni makini lindeni watoto wenu. Maana usitegemee serikali ije ikulindie Serikali itapiga soga la siasa tu lakini pale kuna...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kushindwa kula chakula kwa uchafu wa mazingira au mpishi?

    Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa. Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena. Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
  18. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  19. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wachina wanaongoza kwa uchafu

    Habari za asubuhi Wana JF, Leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina. Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida. Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Africana uchafu unatupwa ovyo barabarani

    Hali inakokwenda unaweza kuta ucahfu umetupwa mlangoni kwako na huna kumfanya yoyote. Sisi ni wachafu sana.
Back
Top Bottom