ubunifu

  1. Soul21

    JamiiForums Tanzania TET imekosa ubunifu au ni njia ya utakatishaji wa pesa za serikali

    Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi. Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote. Natoa rai mfano...
  2. Msolo

    JamiiForums Tanzania Je, Huu ni mwisho wa ubunifu mpya kwenye simu?

    Za Weekend Wakuu! Matoleo mapya ya simu tofauti katika miaka ya karibuni imenipa tafakari hii, kwamba hakuna features mpya kulinganisha na miaka ya nyuma kabla ya iOS na Android, na miaka ya mwanzo ya iphone 2007. Je, unakumbuka enzi zile kila mtu alikuwa na simu tofauti na ya mwenzake, kila...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tujiburudishe kidogo na hizi kazi za ubunifu

    Siasa na michezo wiki hii imechukua muda wetu mwingi.. Na mijadala yetu imekuwa na matokeo butu kwakuwa wenye mamlaka wanatufuatilia kwa jicho kali la tai Hivyo basi hebu tujjburudishe kidogo na hizi kazi kabla hatujarejea kule kwenye stress.. Hapa kuna baadhi yetu wanaweza kufaidika na hizi kazi
  4. T

    JamiiForums Tanzania Online Tv nyingi za Bongo hazina ubunifu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, online TV nyingi hapa bongo hazina ubunifu wowote. Mfano Kuna ulazima gani wakuipa jina lako? eg.Carl Peter's TV ilihali yako majina mengi tuu unaweza kubuni. Pili Hawajui kutafuta contents unakuta online TV inamuhoji dudu baya kila siku
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kumeanza kuwa na ubunifu wa magari sio kama zamani

    Katika siku za karibuni nilipata nafasi ya kushuhudia interview moja ya kipind cha clouds kina itwa The Gear ambacho hufanya na garage na wauza spare parts hapa Tanzania, Jerry spare parts and service. Ambapo kwenye kipindi hicho alikuwepo host ambaye ni CEO wa Jerry spare parts and service...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ubunifu kwa Maendeleo: Tanzania Yajipanga kwa ajili ya Mkutano wa Future Ready na Wiki ya Ubunifu Tanzania 2025

    Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Shigeki Komatsubara (katikati) akizungumza kwenye mdahalo uliofanyika wakati wa kutangaza msimu mpya wa Wiki ya Ubunifu sambamba na mkutano wa Future Ready Summit mwaka 2025. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Philip Besiimire na muongozaji wa...
  7. Martha Amosi Mwakalibule

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  8. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kama una chumba kimoja tumia ubunifu huu

    Kwa hisani ya wabunifu wa kichina hawashindwi kitu. Unaweza ukatengeneza kitanda cha juu cha chuma au kama ni yako unafunga juu ya zege kitanda then chini ya kitanda unaweka dining table, au masofa au studying place kwa watoto wako. Unakuwa umesave space ya room yako namna gani,hii imeenda...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kazi za ubunifu za Claudi Cassanovas

    JF inaenda viwango vingine vya kimataifa zaidi.. Tunajiribu kupanua wigo wa mijadala na kazi za ubunifu za maonesho mbali mbali za wabunifu kwenye nyanja zote ambao ni maarufu duniani Kwa kushirikisha kazi zao kwenye mitandao yetu kunatupa nasi nafasi ya kuzitambua na kuzienzi kazi zao adhimu...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu mwingine wa kushangaza

  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kazi za ubunifu za Ibrahim Said wa Misri kwa kutumia tope la mfinyanzi

    Kutoka kwenye barabara nyembamba, tanuri za kufinyanga udongo, na karakana zenye kelele za Fustat, Ibrahim Said alizaliwa mwaka wa 1976. Fustat ni eneo la Cairo, Misri ambalo limejikita katika historia ya tasnia ya ufinyanzi tangu ushindi wa Kiislamu. Ibrahim anatoka katika familia ya...
  12. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr badilika, rudi kwenye asili Yako

    Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi. Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana. Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
  13. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa mahitaji ya LOGO kali na zenye ubunifu ndani yake na mwonekano mzuri kwa ajili ya biashara yako

    Unahitaji Logo ya Kipekee kwa Biashara Yako? Karibu kwenye [MAC LOGO DESIGNING ] - Mahali ambapo ubunifu unakutana na mtindo! Tunatoa huduma za kubuni logo ambazo zitafanya biashara yako ionekane kitaalamu na kuvutia. Kwa Nini Utuchague? Ubunifu wa Kipekee: Tunaunda logo zinazoshawishi na...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Kilimo cha nyumbani ukiwa na eneo dogo

    Hapa no kilimo cha matunda, mbogamboga na baadhi ya mazao ya chakula Huhitaji tena kwenda kununua mboga zisizo salama.. Na wala huhitaji kulalamika kuwa huna eneo la bustani
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: urembo kwa kutumia vipande vya miti

  16. baggio23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kusoma: Master ya Uongozi wa Ubunifu Afrika

    Fursa ya Kusoma: Master ya Uongozi wa Ubunifu Afrika!
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania “The Year 2000” .Kitabu kilichotoka mwaka 1967.

    Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni. Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu kwa wenzetu umeenda viwango vya juu zaidi

    Kwa wenzetu ubunifu ni kitu kinachopewa umuhimu mkubwa na wa kipeKee na ndio maana wameweza kufanya mengi na kufika mbali Kwa picha hizi hapa tunaweza kujifunza kitu kwenye sanaa na dhana nzima ya ubunifu
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: spika za mbao halisi

Back
Top Bottom