ubunifu

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Part 2: Ubunifu utokanao na miti, magogo na mbao… Kazi za viwango

    Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe... Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: samaki wa mbao

  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Urembo wa taa.. Kazi za viwango

    Kama unapenda vitu vya kipekee na ubunifu uliotukuka, kamwe huwezi kukutana na kazi hizi kisha ukaacha kutia neno.. Hapa ni ubunifu, usanifu na uchongaji uliotukuka... Siishi kuzitamani hizi kazi... Mbao tupu tena halisi hakuna plastic hata moja Sharing is caring...❤🎀👌🏿
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu; vigoda vya mbao, miti

    Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali hupakwa Silla
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Marembo kwa kutumia makombe ya baharini

  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: mapambo mbalimbali

  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Mixer ya matunda kwa ajili ya kupunguza uzito na kitambi

    Yanasaidia pia kuboresha ngozi, hamu ya kula, nguvu za mwili.. Mmeng'enyo wa chakula nknk
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Vijumba vya kupunga upepo na sehemu ya wageni

    Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu jiko la nje la kisasa

    Hizi ni dizaini za majiko ya nje kwa ambao wameshajipata au kwa ambao viwanja vyao ni vikubwa na wanapenda vitu vizuri Bar wanajenga heshima kama kawa lakini home nako hawakusahau Heshima juu ya heshima
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: vyombo vya mbao kwa kutumia miundo ya wanyama

  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa parking na sideways kwa kutumia tiles na pavements blocks

    Ukisikia finishing ni kaburi la pesa basi hapa ni eneo mojawapo Hizo tiles na paving blocks zinauzwa kwa square meter Kisha kuna gharama ya usafiri Halafu kusawazisha na kusindilia vizuri eneo Kuna gharama za zenge, rough cement au mchanga Kuna ufundi Kuna usafi wa kila siku.. Ama kweli kizuri...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia majani ya miti

    Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi bado hamasa ya maneno ya mdomoni na ubunifu wa maandish vinaweza kukupatia mrembo kama zamani au siku hizi unakaguliwa kwanza ndio utupe sound?

    Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa. Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbozi: Taasisi za elimu zahimizwa ubunifu wa miradi ya maendeleo ili kujiendesha

    Viongozi wa Taasisi za Elimu wakiwemo Wakuu wa Shule, wilayani Mbozi, wametakiwa kuwa wabunifu wa miradi ya kimaendeleo, katika maeneo yao ya shule, hali ambayo itawasiaidia wanafunzi kujifunza stadi za maisha pamoja na kuwapatia kipato ambacho kitasaidia kuendesha shughuli za shule ikiwemo...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu; vitanda vya pallets (chaga za kubebea mizigo mizito)

    Ujio wa wachina na viwanda vyao umeturahisishia maisha kwenye sekta nyingi na mambo mengi.. Vitu tulivyokuwa tunatumia gharama kubwa kuvimilki siku hizi sio ishu tena Kwa malighafi zilizopo na ubunifu unaoongezeka kila uchao tunafaidika na mengi kila uchao.. Hapa Leo ni ubunifu wa vitanda vya...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu saa za ukutani za mbao na miti

  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia chupa tupu za plastic na madumu tupu

  19. and 100 others

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

    Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI. Katika mjadala huu, tunakaribisha: ✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI. ✅ Kujadili uwezo wa AI katika...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu njiti za kiberiti/kibiriti

    Ni ubunifu nzuri rahisi na wa aina yake wenye faida nzuri sana.. Ya an I bunda moja la vibiriti 12 la shilingi 500 linaweza kukupa faida mpaka ya laki kutokana na ubunifu utaofanya Tatizo la huu ubunifu ni moja tuu.. MOTO.. Weka mbali kabisa na moto kwakuwa kosa moja la mwali wa moto linaweza...
Back
Top Bottom