Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi.
Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF
Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana.
Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya nazi😂
Mara urembo kwa kutumia mbao, mara kilimo Cha kisasa hata kama nyumba Yako ni ndogo, Sasa jamani legend.
Ombi langu.
Threads zako za miaka 10 iliyopita bado zinaishi maisha ya Leo ila jitahidi kuongeza vitu baba.
Vijana tunahitaji maneno Yako ya busara hekima na hamasa
Usitusahau sana