ubunifu

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mrejesho utakanao na mada za ubunifu

    Baada ya miezi miwili na ushee ya kupost mada za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa jukwaa la makazi na ujenzi na kidogo ujasiriamali.. Hatimaye picha zimeanza kupungua sasa Dhima ya hizi mada ilikuwa kuamshq udadisi, kuchagiza ubunifu na kusherehesha sanaa ya ubunifu kwenye majukwaa...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: urembo wa sebuleni.. Tv show case za mbao

  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: my tool box

    Fundi bila kasha la spana hana kazi.. Huu ni ubunifu wa uhifadhi wa spana zako karakana
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa wafugaji: ubunifu wa tray na vibebeo vya mayai

  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Part 2: Ubunifu kwa kutumia mianzi na mazao yake

  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: sanaa ya uchongaji

    Venice: Jiji Linaloelea kwenye Msitu Uliozama 🌊🌳 Tangu 421 BK, Venice imesimama juu ya mamilioni ya vigogo vya miti vilivyokwama kwenye sehemu ya chini ya udongo wa rasi. Sio chuma au saruji, lakini hasa alder, na mialoni michache, inasaidia jiji zima. Katika maji ya chumvi, nguzo hizi za mbao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: urembo wa kijani kutani

  9. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: vikapu na vitenga

  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa ukumbi wa sherehe msituni;Tumuunge mkono mshana jr kwenye topics zake za ubunifu

    Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee. Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Dunia ya upande wa pili

    Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa Ujenzi na makazi Biashara na ujasiriamali Hapa habari mchanganyiko Jukwaa la picha Chitchat Mapishi Urembo na utanashati.... Lakini nyakati zote sijawahi kupost picha za ubunifu wa maumbo, fenicha na vifaa vya ulimwengu pendwa...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa meza sehemu ya pili: Mbao asilia.. Ufundi uliotukuka..

  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: stand za viatu

  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: mabaki ya vitambaa

  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia mapipa

    Ubunifu ni kipaji na sanaa ni kipawa.. Msanii wa hivi vitu chochote aonacho tayari akilini mwake ameshakipatia kazi..leo twende na mapipa tupu
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Vyakula vya Kibongo.. Bara na Pwani .... Makabila yote, mapishi yote

    Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani visu na uma😂 TAHADHARI: KAMA UNA NJAA NA UKO MBALI NA SEHEMU YA KULA USIFUNGUE HUU UZI Nb: Makande...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Book shelves ideas

    Hii ni kama urembo zaidi kuliko uhalisia.. Ama kumbukumbu za tulikotoka.. Kizazi hiki hakina wasomaji wa vitabu tena😪 internet imechukua nafasi ya kila kitu Nikikumbuka enzi za collection ya vitabu vya Ujamaa na kujitegemea World cold wars Soviet union African writers series Riwaya za kibongo...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa maua kutumia takangumu

    Kile unachodhani ni takangumu ya kutupa au kuchoma moto kwa msanii wa ubunifu ni malighafi ya kutoa kitu cha kushangaza.. Ni uwezo wa aina yake kugeuza kisicho na faida kuwa cha faida
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sisi sio Wabunifu?: Afrika Dhidi ya Maeneo Mengine ya Dunia

    Utangulizi Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio makubwa kama Ulaya, Amerika, na Asia. Kupitia uchambuzi wa mafanikio, changamoto, na fursa...
Back
Top Bottom