Mwanamuziki Rajab Abdul, maarufu Harmonize ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika Jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara, miezi kadhaa baada ya Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli kupendekeza afanye hivyo.
Akizungumza na TBC1, mwanamuziki huyo anayetamba na nyimbo kadhaa ikiwamo Bed Room...