Habari!
Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva pamoja na uaminifu wa hali juu.
Nina Leseni hai, nimesoma VIP na nina kitambulisho cha taifa (NIDA)...
Jamani madereva wa Uber tunajua maisha magumu kwa wote which means tukipata offer zetu msitununie sisi au kutulalamikia njia nzima as if cc ndo tumeweka bei.
Kwani cc tukiambiwa 15k hata sehem ndogo bado tunatoa Km kawa hatulalamiki Wala hatuombi mtupunguzie. Km hao Uber wanawabana hamieni...
Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye...
Uber itaanza kuweka matangazo katika app zake mbili, app ya Uber ambayo inatumika kuita usafiri (gari, bajaji, pikipiki n.k) na katika app ya Uber Eats. Watumiaji wa app hizi wataona matangazo wakati wa kutafuta usafiri, kusubiri usafiri kufika na wakati wa safari.
Matangazo (Ads) yatakuwa ni...
Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza ubia wakufanya kazi pamoja kwa muda wa mwaka mmoja wa kampeni ya kutoa zawadi kwa madereva na...
Naomba kujua, baada ya kutua KIA, je kuna huduma za usafiri za kimtandao kama Bolt ama Uber pale jirani kama ilivyo kwa JKN ama Mwanza ama Dodoma?
Binafsi KIA sijawahi kutua pale nikatumia usafiri wa umma, mara nyingi hua kunakua na usafiri wa ofisi ama kuna mshikaji wangu hua anakuja kunipokea...
Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo.
Kwa mawasiliano 0786168340
Habari wakuu,
Naomba kuuliza mwenye uelewa kuhusu hizi private cars (Uber, Bolt etc) unaweza kuwa unaingiza kiasi gani kwa siku faida na hasara zake anisaidie au kama kuna dereva ana uzoefu na hii kazi tuwasiliane tukielewana tunaweza fanya kazi pamoja.
Ndugu zangu katika kupambana na maisha kijana mwenzenu hatimaye nimepata IST na nimekamilisha taratibu zote za kuanza kufanya kazi ya Uber na Bolt. Gari ni yangu japo si mpya sana ila bado nzima kabisa nimefunga na AC.
Sasa kwa kuwa ndio naanza najua kuna mengi natakiwa kujifunza. Ningeomba...
Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari....
•Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu?
•Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako?
•Je unahisi kuchoshwa na kukataa tamaa na bishara ya usafirishaji?
•Je unatamani kupata dereva...
Kampuni ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao ya Uber Limited, imetangaza kuresha huduma zake rasmi baada ya kuisimamisha huduma hiyo tangu Aprili 2021.
Kampuni hiyo hiyo iliyositisha huduma zake Aprili 2022, ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
Habari zenu wanajamvi
Kwa wale wenzangu na mimi wazee wa kusakata rhumba usiku kucha hususani weekend mtakuwa na uzoefu kama wangu juu ya usafiri wa hili jiji la Dar. Juzi nlikuwa na wana kwa party Kurasini, Kilwa road mtaa wa Loliondo. Tulikuwa wana kama wote, vile tunamimina maji toka saa 4...
Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...
Wakuu habari
Kama wengi tulizoea kutumia huduma za Bolt au Uber katika kuingiza kipato. Ningependa kufahamu baada ya hizi app mbili maarufu kusitisha huduma maisha yanasongaje kwa kutumia app zingine?
App ama Paisha, Tantax, Indrive,Little Ride,Taxify....nk zina faida nzuri? Au watu...
Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc)
Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu.
Mawasiliano 0767553726
Tunajua Serikali inataka kupata mapato lakini kuna huduma mhimu kama usafirishaji na nishati nashauri zisingeguswa!
Mfano Bolt miezi michache iliyopita mtu ukiwa na 20,000 unaweza kufanya safari 5 au 6 , kwa sasa 20,000 ni safari 1 tu na chenji inabaki kidogo ambayo huwezi itumia kwa safari...
Majuzi juzi hapa nilisikia uber wamefunga biashara Tanzania kutokana na sheria kandamizi, za kutaka wachukue 20% ya mapato ya dereva na wao wanataka 25% kama sijakosea.
Jana Uber wamenitumia meseji kwa kuniapa offer za safari za mjini kwa discount kubwa tu.
Swali langu, je uber wamerudi...
Both the taxi businesses serve in the USA and Canada. The only difference between the two is the pricing. So, how would you claim which is cheaper? There is no fixed answer as there is no fixed pricing per ride. I have tried both apps, and I like both too.
Coming to the companies who were...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.