Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

ziggibro

Member
Jun 23, 2022
5
1
Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc)
Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu.
Mawasiliano 0767553726
 
Hesabu unaleta sh ngapi? Na mmiliki anagharamia nini kipindi cha mkataba?
 
Hesabu huwa kati ya 100,000 mpk 150,000/wiki
Na bei hupangwa kutokana na aina/upya/uimara wa gari
Kwa gari ya hesabu mmiliki atahusika na service zote za gari kuanzia oil na marekebisho ya gari pale parts zinapochoka na zitapohitaji kubadilishwa.
 
Hizi hesabu ni kwa mkataba kwamba baada ya muda wa miaka au kiezi kadhaa gari inakuwa ya dereva ama?
 
Hii ni ya hesabu ya kawaida gari inabaki kuwa ya mmiliki
Yaani kipato cha 400K- 600K kwa mwezi, si haba. Ambapo mtaji wa IST ni 9-13M. Sema changamoto ni kumpata dereva mzuri. Watu waaminifu na wenye tabia njema zama hizi wamekuwa adimu kama mvua kipindi cha kiangazi.
 
Kweli hakuna biashara isiyo na changamoto na ndio maana huwa kuna utaratibu wa mikataba ili kulinda maslahi ya pande zote mbili, pia kunanakuwa na utaratibu wa kuweka wadhamini
 
Uber)

mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 napatikana dar es salaam
Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt little, paisha. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0743974343
 
Hivi hii ukiingia bank hawakununului gari wabakie na kadi mkuu
 
Uber)

mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 napatikana dar es salaam
Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt little, paisha. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0743974343
Ulishapata gari..?
 
Magari sasa hivi abilia wengi hawapandi. Wanapanda bajaj achana na gari tafuta bajaj. Mimi nimebadilisha nakimbiza mbaya.
 
Uber)

mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 napatikana dar es salaam
Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt little, paisha. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0743974343
Nikodishe hizo accounts nakuwa nakulipa daily
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom