uber

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ajira kuendesha Uber\Bolt

    Habari zenu viongozi kwa jina naitwa Yasser Mikidadi natafuta kazi ya kuendesha Uber & Bolt pia nina leseni class c1,c2,c3 ni kijana muaminifu na ni mchapakazi. Kwa mawasiliano zaidi: 0623033336
  2. Abdul kalaam

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uber, Bolt

    Habari wanajukwaa Mimi ni muajiriwa sehemu fulani, kutokana na changamoto za kazi nilitamani nijiajiri mwenyewe kupitia biashara ya udereva wa mtandao. Naombeni ushauri wenu juu ya hii biashara kama inalipa kwa kiasi gani na changamoto za biashara kiujumla. Asanteni
  3. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  4. Askofug

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, hasa Uber na Bolt

    Ninaitwa Eliah Gwamaka. elimu yangu ni diploma ya IT. Pia nina leseni yenye madaraja C1, C2, C3, E na D.nina uzoefu wa kufanya Bolt kwa zaidi ya mwaka mmoja. Napendelea mkataba hata kama gari sio mpya. Napatikana ukonga Banana Dar es Salaam. Namba yangu ya simu ni 0686 574164. Natanguliza...
  5. Marcel_10

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Dereva wa Uber

    Habari ndugu Dereva wa Uber anatafutwa Awe na sifa zote za dereva wa Uber Awe msafi Mchapakazi Mwenye uzoefu Na mwenye nidhamu WhatsApp 0737480658
  6. instagram

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

    Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB. Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza matumizi ya taxify na Uber kwenye kutuma na kupokea pesa; Je, inawezekana?

    Unaweka pesa kwenye bahasha, kisha unatumia application ya Taxify / Uber na kuita chombo cha usafiri kilichokaribu, kisha unamkabidhi mzigo ila humwambii kuna nini ndani na kumpa maelekezo ya wapi apeleke. Je, hii inawezakana?
  8. mkadiriajimajenzi

    JamiiForums Tanzania Uber na Bolt zijifunze kutoka kwa Indriver

    Indriver ni app bora kuwahi kutokea katika teknolojia ya usafiri nchini Tanzania kwa sababu zifuatazo:- 1). Abiria anapendekeza bei ya safari kulingana na uwezo wa mfuko wake na Inatoa mwanya wa majadiliano ya bei na dereva mpaka kufikia muafaka. (Ukizingatia Wabongo kwa kupenda ku-burgain, hii...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Si Cadillac tu, hata Bugatti, Ferrari na Lamborghini nazo ni Uber Marekani

    Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani. Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nyie! Cadillac Escalade inakuaje Uber?

    Kitu Cha Cadillac Escalade kinakuaje Uber? Huko Ni kukosa adabu kwa gari pendwa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kuendesha kama uber driver

    Salaam wakuu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber. Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala pake.kwa yeyote anayehitaji dereva wa kazi hiyo anitafute kwa namba 0759429980. Shukran.
  12. Streptokinase

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uber, Bolt?

    Heshima zenu wakuu. Naomba kujua utaratibu wa kufuata ili kuisajili gari kama Uber/Bolt. Na pia gari nzuri kwaajili ya kufanyia hii biashara kati ya Passo, Ist, au Vits. Natanguliza shukrani.
  13. Baba Richard

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Guys natamani sana kuifanya hii biashara ya Tax kwa njia ya mtandao kama vile kupitia Uber na Bolt lakini sijui ijui sana bishara hii, mwenye kufahamu lolote kuihusu hii biashara anipe info’s kidogo. Ninachotaka kukifanya ni kuchukua gari ya mtu na kuifanyia hiyo kazi kwa hesabu au mkataba...
  14. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu, biashara ya usafiri wa anga (ndege) sio kama Uber jamani

    Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dereva wa uber natafuta kazi

    Habari ndugu zangu Mimi ni dereva wa Uber natafuta gari ya kazi. Nina uzoefu wa Kazi zaidi ya miaka miwili ya Uber Nina account ya uber na bolt pia nina leseni class c pia gari iwe ya mkataba au hesabu niko teyari. Namba yangu ni 0624055653
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni ya udereva ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe la mkataba au hesabu mimi niko teyari namb...
  17. Stiffler88

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na udereva wa Uber na Bolt, naomba kujua faida, hasara na changamoto zake

    Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt. Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
  18. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya "Uber" lakini sijui pa kuanzia

    Wakuu nina gari yangu imepaki nataka iniingizie pesa kwa kuifanya uber. Naomba kwa mwenye ufahamu anifahamishe process yote mpaka gari inaingia barabarani. Yani kama kuna vibali ni vipi? Kama najisajili naenda wapi kujisajili? Kama ni leseni naenda kuikata wapi? Pia nilitaka kufahamu kama...
  19. harold mbise

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni Elimu 4rm 4. Chuo NIT nina cheti cha VIP Lesen class A B C1C2 C3 D Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es salaam Mawasiliano 0762 395595
  20. Yoranda

    JamiiForums Tanzania I have nowhere to report Uber theft, harassment, fake trip transport fees

    Hawa madereva wanakuonyesha screenshot, bei ya uongo. Nilimuomba nione bei na ramani ya safar akakataa na akaficha simu, bei aliyotaja Mara ta3 ya bei ninayolipa siku zote hata ikizidi au kupungua ni kias kidogo Sana. Cha kunishangaza nimetafuta Sana pa kusema hakuna. Uber drivers has...
Back
Top Bottom