Maswali yanayohusu kabila na dini kwenye vyombo vya dola yanaashiria ubaguzi

mtumishi 2021

Member
Mar 12, 2021
24
26
Maswali unapoenda polisi una shida labda umepoteza vitambulisho au shida nyingine tu, unaulizwa eti kabila gani, dini gani maswali hayo ameyatilia shaka kuwa yana viashiria vya ubaguzi.

Hata Mimi sioni kama yana tija badala yake naona wangehoji eneo analotoka mteja wao ili kuweka takwimu vizuri, lakini hili lakutaja kabila sijui dini mmh limekaa kibaguzi kweli.

Mwenye kujua PGO zinasemaje toa maoni yako
 
Hayo maswali tumekutana nayo sana kwenye vyombo vya usafiri vya uma

Lakini maswali hayo ni kutaka kujua uraia wa mtu! Hivyo huyo mtu asiwe tu negative
 
Hayo maswali tumekutana nayo sana kwenye vyombo vya usafiri vya uma

Lakini maswali hayo ni kutaka kujua uraia wa mtu! Hivyo huyo mtu asiwe tu negative
Hapa ndipo "wataalamu" wetu mlipotufikisha, mko ndani ya boksi bado. Wajaluo, wakurya, wamakonde, wanasai, wadigo unadhani wapo Tanzania tu?? Mnafanya safari yetu iwe ndefu sana.
 
Back
Top Bottom