tutegemee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji, je tutegemee sarafu ya EURO kuporomoka?

    Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD). Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa? Nini maoni yenu? Karibuni
  2. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tutegemee muda si mrefu mzee wa victoria akahama chama kisa vipande vya thumni

    Save this post!!!!!! Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni. Save the post!!!! Kinachosubiliwa ni muda tu ufike mheshimiwa tu save the date!!!
  3. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Myahudi kachapika huko! Tutegemee nini??

    Wayahudi 11 wanaripotiwa kufariki dunia katika shambulio lililofanyika katika milima ya Golan. Hezbollah wamekiri kuhusika katika shambulio hilo.Wayahudi wameapa kulipa kisasi! Allah vs Yahweh!!! Wafia dini za kiarabu na kiyahudi kazi kwenu! Mkumbuke wanawake na watoto wanateseka! Eleven dead...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

    Salaam,Shalom!! Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba. Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

    Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target. Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bi. Christine Mwakatobe alifeli kuendesha KADCO, Je, tutegemee mafanikio AICC? Au maisha ni bahati?

    KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio tuseme omba uzaliwe na bahati? Soma: - Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

    Kwema Waheshimiwa! Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo. Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa...
  10. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Je, uongozi wa Roman Catholic ni 'ndumilakuwili' au huyu Papa tumepandikiziwa? Tutegemee nini?

    Uongozi wa Roman Catholic kwa miaka 15 iliopita umekua na changamoto sana hasa hasa kuhusu mambo ya ubakaji, rushwa na ushoga. Miaka ilopita tulishuhudia Papa Benedict anajiondoa kwenye kile kiti, kitendo ambacho kilizua maswali mengi sana. Japo baadhi ya watu wanadai Papa Bemedict alikua...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Leo tutegemee saa 24 bila umeme Dar es Salaam

    Hii itakuwa ni historia. Tena bila taarifa kutoka TANESCO.
  12. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Sasa tutegemee wawekezaji kumiminika Tanzania. Wawekezaji wanawekeza kwenye amani, utulivu na usalama. Hongera Rais Samia

    Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye. Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya...
  14. Exile

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kama ni kweli tutegemee zaidi kupanda kwa diesel na petroli

  15. The Father of All

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mwanzo wa Ruto kutawala peke yake ndiyo umemalizika tutegemee serikali ya mseto?

    Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania. Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...
  16. Tango73

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini toka kwa Kocha Muargentina?

    wanayanga kitu muhimu cha kutegemea kutoka kwa kocha mpya mu-algentina ni ubora wa soka usishuke ila uzidi kupanda kiasi cha kuzionea timu nje ndani na za kimataifa. Ninachowataka Wanayanga wenzangu na uongozi ni kukubali ya kuwa kila kocha anakuja na mfumo wake wa ufundishaji ambao kwa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi DalaDala za Mbagala-Kawe, Gerezani-Kawe na Buza-Kawe zinavyopata tabu kugeuza, tutegemee ajali kubwa siku moja

    GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai. Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Rwanda Paul Kagame awasili Nchini na kufanya Mazungumzo na Rais Samia, leo Aprili 27, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023. Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Lawrence Tax kwenye uwanja wa Kimataifa wa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu kama Serikali ya CCM ikifika mpaka 2,500 tutegemee kila kitu kitakuwa na majina ya watawala na viongozi

    Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora. Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika. Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
Back
Top Bottom