tutegemee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025 tutegemee drama za kutosha

    Kuna maswali wanajiuliza wananchi kuhusiana na kucharuka kwa wabuge wa Bunge la CCM kwenye kikao kinachoendelea huko Dodoma. Napenda kuwakumbusha kwamba tusiwe wasahaulifu sana tukidhani wanaongea kwa maslahi ya nchi. Tujikite kwenye msingi wa hoja zao hasa kuchunguza vyanzo vya hizo hasira...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kazi juu ya kazi, sasa Bei ya Mafuta inaendelea kushuka, Watanzania tutegemee neema ya kupungua kwa mfumuko wa bei

    Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SIMBA mpeni mkataba wa kudumu kocha Juma Guardiola Mgunda. Tutegemee soka biriani

    Uzi tayari
  4. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

    Ukiangalia tu kwa karibu jinsi ambavyo mwendokasi unajengwa na madaraja ya flover yajayo ikiwamo la kurasini na Vetah pale. Utagundua aidha mkandarasi amepewa standards za chini tofauti na aliyejenga phase ya kwanza ya Kimara Mwisho hadi posta pamoja na Morroco. Barabara zimeunganishwa na...
  5. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko ya Vifurushi yanakuja Tarehe 18.08.2022: Tutegemee unafuu au maumivu zaidi?

    Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma. Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko. Je, na...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

    Hapo vip!! Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika. Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kombe wamelikosa kwa miaka 5 mfululizo: Baada ya kulipata mwaka huu, tutegemee kusikia sauti ya MBWATA! MBWATA! MBWATA!

    Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  9. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Tutegemee vikatuni vingi zaidi kututoa tusijadili bei ya mafuta

    Naam! Tutasikia mengi. Tutaona mengi. Wazee wa conspiracy theories wako mzigoni kuhakikisha watu hawajadili Bei ya mafuta Tena! Tayari Sabaya out, mara sio Out, mara Mwijaku n.k. Haya tutegemee mengi Mengine. Lakini Bado mafuta Bei ni 3200+ na Zanzibar Bei ni 2600!
  10. B

    JamiiForums Tanzania 2025 Tanzania itafanya uchaguzi au tutegemee marudio ya 2020?

    Kipenga kimepulizwa kwamba tupo Hadi 2030, hapo Bado miaka minne kuelekea uchaguzi. Je, 2025 tutegemee uchaguzi au tubaki kusubiri uchafuzi? Kibaya zaidi kamati inayojadili mambo ya Muda mfupi ,Kati na mrefu ikiwa na akina Zitto ndiyo hiyo iliyompa baraka hizo mwenye nchi Kwa niaba ya...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

    Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua. Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KWA MWENDO HUU: Tutegemee Home Shopping Centre kurudi - kazi (iliyositishwa) iendelee!

    Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!! Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM Hii ndo Hii au tutegemee Mabadiliko?

    Ni swali Tu.🤔
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kwa utawala huu tutegemee Muswada wa Sheria kuzuia wasikilizaji wa kesi Mahakamani kuingia bila kibali na simu

    Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii. Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali...
  15. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tutegemee Reshuffle ya Cabinet?

    Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri. Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
  16. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi kumi za kuteuliwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Stergomena...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Tutegemee Petrol kupanda bei zaidi, haya tunayouziwa Tsh. 2400 P/L yalinunuliwa Aprili

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema bei ya Petrol na Diesel huko duniani inaendelea kupanda na amewataka watanzania kutoshangaa ikiendelea kupaa hapa nchini. Mbatia amesema haya mafuta tunayouziwa Tsh 2400 kwa lita yalinunuliwa mwezi Aprili wakati mafuta hayajapanda bei kwenye soko...
  18. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Tutegemee ATCL kupata faida awamu hii ya 6?

    Ndege moja imetoka Dodoma kwenda Dar iko na Samia, nyingine Iko Burundi na Waziri Mkuu Majaliwa nyingine Ipo Ufaransa Makamu Wa Rais Dkt. Mpango nyingine ndo iko na Mzee Kikwete. Kwenye mazishi Huko Zambia. Nadhani Samia hapendi kuwepo kwa Makao Makuu ya Nchi Dodoma, Maana shughuli nyingi za...
Back
Top Bottom