tundu lissu

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

    M/Mkiti wa CHADEMA Taifa (B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

    Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu. Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na Lazaro Nyalandu Warejesha fomu za kuomba uteuzi wa kugombea Urais baada kukamilisha kusaka wadhamini

    Hawa hapa Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato . Mungu ibariki Chadema
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejesha fomu ya uteuzi Jumapili baada ya kukamilisha zoezi la kusaka wadhamini

    Bado haijafahamika kama fomu hii itarejeshwa na Yeye mwenyewe ( ya Mungu mengi ) au pengine itarudishwa na wakala wake bwana Jumbe. Tuendelee kutega sikio hapo kesho mchana Makao Makuu ya Chadema . Mungu ibariki Chadema
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyakazi Zanzibar kutakiwa wakampokee Mwinyi kwa wingi. Je, watu watarusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nchini?

    Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je, ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
  6. chakii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Kamilius Membe: Nitagombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

    Jana niliombwa na leo nimekubali rasmi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo. Huu ni wakati muafaka kwangu wa kushiriki katika mazungumzo na vyama vingine kama CHADEMA ili tusimamishe "KISIKI CHA MPINGO" kimoja!. ======= WASIFU...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

    Kama wewe ni mfatiliaji wa siasa za Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikosa kiongozi bora wakuongoza watanzania kwa maslahi ya taifa na wala sio vyama na wanaompa vyeo. Tulipata janga kama taifa baada ya kuongozwa na Mh Rais Magufuli ambaye aliokota...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama CHADEMA haitampitisha Tundu Lissu kura yangu nitampa Magufuli

    Bila kupepesa macho mtu anaeweza kuleta siasa za ushindani kwa chama tawala mwaka huu na hata lolote kutokea kwenye sanduku la kura ni TL. Nawashauri CHADEMA wisifanye kosa la 2015 la kubadili gia angani kumuacha Dr.Slaa aliekuwa kajipanga sawasawa na wakamteua Lowassa kuwa mgombea wao. Matokeo...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Misururu ya Wadhamini wa Tundu Lissu Tarime haijapata kutokea, huyu mtu ana nini lakini?

    Hali ndio kama mnavyoona ndugu zangu Sina cha kuongeza , wale mnaotaka nyama zaidi endeleeni kula mtori , nyama mtazikuta chini
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28. Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
  11. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/ Tundu Lissu

    CHADEMA, Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu. Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu. Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atoa tamko baada ya Wakala wake kuchukua fomu, akumbusha sifa za wanaostahili kuwa wadhamini, asisitiza kurudi nchini

    Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano. Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa vijijini hawamjui Tundu Lissu, Chadema mtapata kazi ya ziada kumnadi

    Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa. Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa. Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa...
  15. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Tundu Lissu katika utimilifu wa dhana ya "House nigger"

    ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER". Leo 13:15pm 04/07/2020 Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni...
  16. DAGAA WA MWANZA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa. Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  18. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa aina ya utoaji hoja wa Magufuli, atapata shida sana kwenye kampeni akipambana na mtu dizaini ya Tundu Lissu au Bernard Membe

    Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno. Usahihi na umakini ni silaha muhimu sana unapoongea kwenye umati wa watu ambao wanatofautiana utamaduni, imani, na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

    Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais Sababu ni hizi; Mosi, Tundu Lissu ni mgonjwa. Baada ya matatizo yaliyompata huyu ndugu yetu kule dodoma, uwezo wake wa kujenga hoja umeporomoka kwa kiasi kikubwa. I mean, Tundu lissu wa sasa ni tofauti kabisa na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akipitishwa kugombea na chama chake, asitume hii kauli mbiu kwani tayari kuna mtu ameshaiharibu na imeshakosa mvuto kwa watanzania wengi

    Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo. Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea...
Back
Top Bottom